Nimesikitika sana hapo kwa vijana wa kiume wembamba.Mademu wembamba wapo insecure.
Vijana wa kiume wembamba wapo confused.
Shimba ya Buyenze njoo mara mojaHii mada asiione Shimba ya Buyenze
πππππ
Akija hapa ata deal na wale wanaosema ma bonge wana roho mbaya..Shimba ya Buyenze njoo mara moja
Maana minyama walinayo inawashughulisha halafu wazidi kushughulishwa na mambo mengine piaππSijawahi... Kwa minyama waliyo nayo ataanzia wapi kuwa na roho ya kutu?
Namfahamu,wale mishangazi anapenda kuwaita Yutong anawapenda balaaAkija hapa ata deal na wale wanaosema ma bonge wana roho mbaya..
Anaweza anzisha hata vita hapa
Kwanza akija atasambaza picha za hao watu the atauliza je hawa wana roho mbaya....Namfahamu,wale mishangazi anapenda kuwaita Yutong anawapenda balaa
Wengi wao ni wale waliojazia nyuma na miguu mineneπ€£Kwanza akija atasambaza picha za hao watu the atauliza je hawa wana roho mbaya....
No one ambaye atasema wale watu wana roho mbaya
Awe mwembamba na kasura kadogo na kamdomo karefu..... π π π kazi unayo...Mademu wembamba wapo insecure.
Vijana wa kiume wembamba wapo confused.