😅 sawa MkuuPole, sifa zenu tutawapa siku nyingine, leo tuwakaange kwanza
Unene natural kwamba mtu kazaliwa bonge au? Tafuta vibonge unaowajua 10 halafu angalia picha zao za zamani.kuna ule unene wa natural ndo tunaongelea hapa, sio unene wa maternity au balehe
Kuna ka ukweli hapa.Tuwe wakweli jamani, mie binafsi sikumbuki kama nilishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki na visirani visivyoeleweka.
Hata kwa wanawake, mabonge hawanaga baya (Mungu awatunze sana)
Sasa vimbaumbau, yaani iwe kazini au mashuleni, wale waalimu au viranja au maboss wembamba ni hatari. Wana viroho visivyoeleweka.
Huu ni utafiti binafsi.
Mambo ya shimba hayo an yupo lazi hata mda wa kula umpite ila sio kukosa kuangalia haya mamboWengi wao ni wale waliojazia nyuma na miguu minene🤣
Miili yao imejaa haina sehemu tena ya kuficha dhambi.Tuwe wakweli jamani, mie binafsi sikumbuki kama nilishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki na visirani visivyoeleweka.
Hata kwa wanawake, mabonge hawanaga baya (Mungu awatunze sana)
Sasa vimbaumbau, yaani iwe kazini au mashuleni, wale waalimu au viranja au maboss wembamba ni hatari. Wana viroho visivyoeleweka.
Huu ni utafiti binafsi.
Hii mada asiione Shimba ya Buyenze
😂😂😂😂😂
Shimba ya Buyenze njoo mara moja
Akija hapa ata deal na wale wanaosema ma bonge wana roho mbaya..
Anaweza anzisha hata vita hapa
Namfahamu,wale mishangazi anapenda kuwaita Yutong anawapenda balaa
Kwanza akija atasambaza picha za hao watu the atauliza je hawa wana roho mbaya....
No one ambaye atasema wale watu wana roho mbaya
Bagoshaaaaaaaaaaa!!!Wengi wao ni wale waliojazia nyuma na miguu minene🤣
ukiwa na dem mwembamba unatembea nae kila ukigeuka tu anadhan unaangalia nyash za wengine
😂😂😂😂Ha ha ha Mkuu umenibatiza kwa maji mengi..
Halafu awe Mnyaki sasa kama kile chuma cha mjerumani kule mjengoni uwiiii wafwaaaaa! 😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Awe mwembamba na kasura kadogo na kamdomo karefu..... 😄 😄 😄 kazi unayo...
Upele umepata kucha😂😂😂Bagoshaaaaaaaaaaa!!!
View attachment 3400139
➡️➡️➡️ Mabonge (a.k.a Supa Dupa Yutongs) ni mapole, macheshi, malaini, yana roho nzuri, yana upendo wa kweliii....oooh easy life wallahi! 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 3400148
View attachment 3400150
Kwahiyo inaunguza?Kitaalam watu wembamba wana acid nyingi
Sijui nisemeje ili muelewe