Tuamke tuamke jamani ndugu zanguni kumpongeza Rais mchapa kazi

neema shamuhenya

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
312
Reaction score
216
Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana.

Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari, Wafanyabiashara wachache wakaficha kwa Upuuzi wao, sasa Wameanza Kuficha Mafuta kisa yameshushwa bei ili Tumudu kununua.

Wajinga wameona yameshuka Bei wamenunua na kuficha ili yakiadimika wauze kwa Bei kubwa huoo ni Ujinga sio Akili kabisa, Watanzania tusitekwe akili na watu wachache wasiojielewa.

TUPAMBANE NA WANAOHUJUMU JUHUDI ZA RAIS
 
Mbona inatumika nguvu kubwa sana kutaka watu waone maendeleo na kupongeza?
 
Wewe ndiye inabidi UAMSHWE ili ujue kinachoendelea nchini. Eti tumpongeze rais mchapa kazi!!! 😳😳😳😳 HOVYOOOO!!

Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana.

Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari, Wafanyabiashara wachache wakaficha kwa Upuuzi wao, sasa Wameanza Kuficha Mafuta kisa yameshushwa bei ili Tumudu kununua.

Wajinga wameona yameshuka Bei wamenunua na kuficha ili yakiadimika wauze kwa Bei kubwa huoo ni Ujinga sio Akili kabisa, Watanzania tusitekwe akili na watu wachache wasiojielewa.

TUPAMBANE NA WANAOHUJUMU JUHUDI ZA RAIS
 
Rais Magufuli amefanya mengi saana.

Kila kiongozi huwa ana mapungufu yake....Magufuli amejitahidi saana.

Tuombee 2025 tupate kiongozi mwingine atakayeyaziba mapungufu yake.
 
Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana.

Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari, Wafanyabiashara wachache wakaficha kwa Upuuzi wao, sasa Wameanza Kuficha Mafuta kisa yameshushwa bei ili Tumudu kununua.

Wajinga wameona yameshuka Bei wamenunua na kuficha ili yakiadimika wauze kwa Bei kubwa huoo ni Ujinga sio Akili kabisa, Watanzania tusitekwe akili na watu wachache wasiojielewa.

TUPAMBANE NA WANAOHUJUMU JUHUDI ZA RAIS
Lofa wewe.
 
Sasa kama ni mchapakazi
Sisi tuamke tupambane na nini?
Ameshindwa kuchapa kazi Hadi utuamshe na sisi?
 
Back
Top Bottom