Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana.
Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari, Wafanyabiashara wachache wakaficha kwa Upuuzi wao, sasa Wameanza Kuficha Mafuta kisa yameshushwa bei ili Tumudu kununua.
Wajinga wameona yameshuka Bei wamenunua na kuficha ili yakiadimika wauze kwa Bei kubwa huoo ni Ujinga sio Akili kabisa, Watanzania tusitekwe akili na watu wachache wasiojielewa.
TUPAMBANE NA WANAOHUJUMU JUHUDI ZA RAIS