neema shamuhenya
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 312
- 216
Mambao yanaonekana wala hakuna nguvu hapo kawaida sanaMbona inatumika nguvu kubwa sana kutaka watu waone maendeleo na kupongeza?
Mijitu hovyo kweli uataiona tu haifurahii maendeleo ya wengine hata siku mojaHovyoo
Mambo ni motoHovyoo
Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana.
Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari, Wafanyabiashara wachache wakaficha kwa Upuuzi wao, sasa Wameanza Kuficha Mafuta kisa yameshushwa bei ili Tumudu kununua.
Wajinga wameona yameshuka Bei wamenunua na kuficha ili yakiadimika wauze kwa Bei kubwa huoo ni Ujinga sio Akili kabisa, Watanzania tusitekwe akili na watu wachache wasiojielewa.
TUPAMBANE NA WANAOHUJUMU JUHUDI ZA RAIS
Neema, hivi umetia nia kugombea ubunge jimbo gani vile?Mambo ni moto
Tunapambana, tutapambana, daima tuko nyuma yake.Vijana wanapambana
Moto kwako..sikujua kina Neema Wana utahaira wa aina hii!Mambo ni moto
Lofa wewe.Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana.
Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari, Wafanyabiashara wachache wakaficha kwa Upuuzi wao, sasa Wameanza Kuficha Mafuta kisa yameshushwa bei ili Tumudu kununua.
Wajinga wameona yameshuka Bei wamenunua na kuficha ili yakiadimika wauze kwa Bei kubwa huoo ni Ujinga sio Akili kabisa, Watanzania tusitekwe akili na watu wachache wasiojielewa.
TUPAMBANE NA WANAOHUJUMU JUHUDI ZA RAIS
Tulia wewe hujui kitu😏Mijitu hovyo kweli uataiona tu haifurahii maendeleo ya wengine hata siku moja
Sasa kama ni mchapakazi
Sisi tuamke tupambane na nini?
Ameshindwa kuchapa kazi Hadi utuamshe na sisi?
[/QUOT]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Best umenichekeshaaa