Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
- Thread starter
-
- #421
Ugonjwa wa ukimwi, hao wazungu wako na wayahudi watutengenezee, mabaya yote watufanyie, tukae kimya unaita figisu??????kweliiii???Sasa kama unalijua hilo kwa nini huachi figisu zako za Ego 'mara sijui wazungu wametufanya ivi na vile'.! Ajabu kweli
Hakuna anaye kataa kujifunza shida ni pale unapo changanya mambo, mara wazungu niwabaya wameiba vyetu, lakini bado unatumia lugha yao. Unakuwa kama marasta mara zote wanaimba na kuhimiza weusi warudi kwao afrika, maana imetosha kufanywa watumwa lakini wao wanabaki huko huko na wakiumwa ndiyo wakwanza kuyakimbilia matibabu ya hao wazungu ambao huwaita Babylon au vampire. Tujaribu kusimamia kilicho cha haki na chakweli.umeshaishiwa hoja blackstarline, jiheshimu, hakuna ubaya ukikaa kimya, uwaache wenzio wajifunze
Tunaomba chanzo cha maelezo yako ili tupate kuelimika vizuri.Kabla ya kiarabu, na hizo semitic, bara la Africa lilikuwepo...Kiarabu ni lugha changa mno,kuelezea Ubuntu, AMEN ni neno la kibantu cha kale(ancient Egyptian) likiwa na maana ya siri iliyojificha....uislamu, ukiristo,waarabu, hao Wayahudi, vyote viliathiriwa na mafundisho ya mtu huyu mweusi wa kale
Kisa tu nimekukosoa ndiyo nijiheshim? Kama ni hivyo bora tu wazungu waendelee kututawala.Jiheshimu
Yaani unataka kudunisha mjadala huu mkubwa, kwenye kajichupa ka Lugha????yHakuna anaye kataa kujifunza shida ni pale unapo changanya mambo, mara wazungu niwabaya wameiba vyetu, lakini bado unatumia lugha yao. Unakuwa kama marasta mara zote wanaimba na kuhimiza weusi warudi kwao afrika, maana imetosha kufanywa watumwa lakini wao wanabaki huko huko na wakiumwa ndiyo wakwanza kuyakimbilia matibabu ya hao wazungu ambao huwaita Babylon au vampire. Tujaribu kusimamia kilicho cha haki na chakweli.
Unaanza kujidhalilisha sasa,nilikuwa nakuheshimu zaidi ya hapoKisa tu nimekukosoa ndiyo nijiheshim? Kama ni hivyo bora tu wazungu waendelee kututawala.
Asante kwa kupenda kujifunza,utaletewa ushahidi wote hapaTunaomba chanzo cha maelezo yako ili tupate kuelimika vizuri.
Pepo wapo wapo bila shakaVipi kuhusu roho chafu! Zipo au hazipo?
Asante dada AMEN NA AMEUNET AZIDI KUKULINDANdugu zangu nakabiliwa na majukumu mengine, namuachia askari mwenzetu Fantasma Diamato kutoka Israeli, aendelee na mada
asanteni sana, wale wote mliokuwa pamoja nami
basi namiageni na kukutakieni siku mwororo
wani antekeheti
salamu nyingi, za mapendo kutoka lebanon
ijapokuwa kwetu huku,vita kila uchao...
AmenNdugu zangu nakabiliwa na majukumu mengine, namuachia askari mwenzetu Fantasma Diamato kutoka Israeli, aendelee na mada
asanteni sana, wale wote mliokuwa pamoja nami
basi namiageni na kukutakieni siku mwororo
wani antekeheti
salamu nyingi, za mapendo kutoka lebanon
ijapokuwa kwetu huku,vita kila uchao...
Ngoja nikupe simulizi refu la mfano labda utaelewa kupitia hilo kuona kile mnacho maanisha......lazima tuseme yaliyotokea, Latina tutoke misikitinina makanisani,turudie ibada yet u ya kweli
Nyani haoni kunduleSafi sana. Mungu gani anao waambia watupigie makelele usiku Wa manane watu tume lala. Eti yesu nibebe yesu wangu ni bebe
Utapewa Haina shidaTunaomba chanzo cha maelezo yako ili tupate kuelimika vizuri.
Asante, kwa mchango wako mzuriNgoja nikupe simulizi refu la mfano labda utaelewa kupitia hilo kuona kile mnacho maanisha......
Ni sawa na watu ambao wapo safarini lakini kwa bahati Mbaya
Basi walilotumia kusafiria likapata hitilafu katikati ya Mbuga na ni Usiku
Hofu ikatanda kati yao_na wenye hekima kati yao wakatoa ushauri kwa watu wote kutojaribu kutoka nje maana ni usiku
Kwa kuhofia ugumu wa kutoa msaada kwa mtu anayeweza kudhurika na hayawani mwitu hata na watu wabaya kama majangiri.
Halafu wakiwa katikati ya usiku wanaona kama kuna ishara ya taa za gari zikimulika karibu yao.
Wanajawa na shauku.........!!??
Kukawa na mpasuko kati yao wengine wakidhani yawezekana ikawa ni gari inayoweza wapatia msaada..!
Na wengine wakihofu kuwa yawezekana ikawa ni Gari ya watu wabaya..! wenye nia mbaya nao
Lakini wakiwa katikati ya maulizo hayo.! Wanaona kuna baadhi ya watu wakiwakabili wakitokea upande ule ambao walihisi uwepo wa Gari.
Baadhi wakapatwa na hofu kulingana na shuku yao kuhusu watu wabaya na kuanza kijihami
Na wengine wakawa wakiwatuliza wenzao kulingana na muelekeo wao wa kuhisi kuwa yawezekana ni watu wa msaada..
wakasemezana;
"Ngoja na watukaribie na tutajua kama kweli ni watu wenye nia njema nasi ama La"
Lakini wakiwa katikati ya hali hiyo baadhi wakahoji kwamba
"Tuliona kama ishara ya gari..! Lakini mbona hawa wanakuja kwa miguu.!? Kweli wanaweza wakawa ni watu wa msaada".!?
Wakaendelea wakisema "hakikisheni milango ya gari imefungwa barabara na madirisha ya gari pia, na Taa na zizimwe wasije wakatuhesabu na wakatukabili kirahisi..Na kama wakihitaji kuwasiliana nasi tutatumia Upenyo wa dirishani na watakao semezana nao ni wanaume Tu".
Wale watu_kweli wakakaribia lile Gari na kutoa salamu kwa uchangamfu Tu 'za saa izi ndugu wajameni'....watu kimya.
"Hivi ni kweli hamuitaji Msaada.!? Mbona twawasalimu lakini Hamjibu Mna tatizo Gani.!?
Wakaendelea
"Kama manahitaji msaada basi na shukeni Garini Mwenu na Tuongozane Twende Tukapande gari yetu ya Uhakika na imara na Tunawahakikishia mtafika kwa wakati.. kuliko kukaa hapa usiku kucha bila msaada na hatari hizi".
Hapo Mmoja wa kwenye gari akashindwa kujizuia_akahoji. "ikiwa kweli mnataka kutupatia msaada kwanini msingeileta gari yenu karibu nasi ili tuwe na uhakika wa mnayoyasema"..!?
Ngoja niishie hapa usije ukachoka kuisoma na kuimalizia..ila ukitaka niendelee nitaendelea
[emoji120] [emoji120] [emoji120] ahsante sana ,nimejifunza kitu ktk post ya kuhani Nyabhingi huko juu kuhusu pyramidYou're so blessed
Tunafurahi pamoja nawe....hakuna furaha Kama kujitambua[emoji120] [emoji120] [emoji120] ahsante sana ,nimejifunza kitu ktk post ya kuhani Nyabhingi huko juu kuhusu pyramid