Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Sijaelewa kabisa umejikita katika ukweli upi ?
Kweli Iko complicated, hasa pale siasa , dini , ubaguzi wa rangi ya ngozi, na uchumi, vinapokinzana, yahitaji jitihada binafsi, na mbinu mbadala kuupata,ndio sababu, Kuna relative, neutral na concrete Ama absolute truth
mbona kisa kizima cha Yesu masia ni hadithi ya kufikirika, lakini haipingiki??
 
Ukitaka kumwamsha mwafrika basi mwamshe kwa kutumia lugha yake ili akuelewe vyema.
 
Mkuu inakupaswa kuamka kwako kwende pamoja na kutumia lugha yetu.
 
Uandishi wako nikiusoma unaleta taswira ya muongeaji anayeongea kwa sauti ya kutia huruma.

Bandiko lako ni zuri na umemjibu mmoja wa wadau kwamba nia ya hili bandiko ni kuwatosheleza jamii ya humu Jf, kwa kila atakayepata bahati na hili bandiko ashibe kwa nafasi yake. Lakini maudhui yake yataeleweka kwa anayeyafuatilia haya. Vipi kwa asiyefuatilia unamfikiriaje? Na wewe nia yako ni tupate kuona pasipo kutumia macho. Ushauri wangu, ungezea nyama kwenye hili bandiko kama hautojali. Ili sote tushiriki na tunufaike.
 
Na inavyosemekana yesu alikuwa mweusi pia kwenye MTO Nile pale alikunywa Yale maji ambayo yanakuja adi ziwa Victoria sasa apo huwezi sikia haya yakisemwa popote
 
Hujajua maana ya ukweli na si kweli kwamba hakipingiki.

Hivi huwa mnapata wapi ujasiri wa kuongelea mambo msiyoyajua ? Hapa ndio huwa napata tabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…