Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

hivi ubaguzi hasa ni kitu gani hua sielewi vizuri kwa nini mtu mweupe aonyeshe kumwona mweusi hana thamani kwani mweusi hawezi kufanya hivyo yaani kumnyanyasa mtu mweupe na kumtenga
hyo ni kutokana na wewe mwenyewe kukubali kama huna thamani ndo maana unatengwa na kubaguliwa
mtizamo tu
 
Filamu Za ngono ukiziangalia kama mtafiti utajifunza mengi mno,kwa mfano narejea promotion ya vitendo vya usagaji na usenge, pia sasa kunaongezeka watoto wa kiume, wanaozaliwa na maumbile ya kike,na wakike wenye maumbile ya kiume, ndugu hii siyo bahati mbaya, Wala mapenzi ya mungu, bali mapenzi ya makusudi ya wanadamu
Hebu toa basi hicho ulichokificha tukielewe.
 
Mkuu kupitia Israeli, mataifa yote yameokolewa kutoka kwenye dhambi ya mauti. BWANA MUNGU alimleta MESSIAH duniani kupitia kwa Wayahudi ambao ni wana wa Israeli na kila aaminiye anapata WOKOVU. Huo ndiyo UKWELI na hakuna ukweli mwingine wowote ule zaidi ya huo.

Yeyote anayewachukia Wayahudi ni Shetani, sababu shetani mwenyewe anajua wazi kwamba MUNGU amewatumia Wayahudi kuwaokoa Wanadamu kupitia kwa YESU KRISTO ambaye alizaliwa kama Myahudi. Kwa kuwa Shetani alishindwa kufanya vita na YESU KRISTO, sasa anafanya vita na Wayahudi na wale wote wanaoupokea WOKOVU kutoka kwa YESU KRISTO.

Mwenye masikio na asikie!
Nenda ukaombewe unapepo mchafu, 1MORAL AND DOGM BY ALBERT PIKE.
2BALFOUR DECLARATION.
 
Siku hizi wanawekewa Vionjo fulani vinavyoufanya Ubongo eitha uwe kwenye Huzuni, hasira, hofu, FURAHA au hali yeyote........!! kwenye Vionjo vya Furaha Mtu akiwa kwenye Mfano Ngoma humpanda Mdadi mpaka hufikia kuchimba shimo, kukata Mauno kusikofaa au kupagawa anapocheza hiyo ngoma yenye vionjo(Power behind the Music)
So tusiwe tunaskiliza music mkuu
 
Watu wengi wanahusianisha ugiriki na ustaarabu wa ulaya, lakini hawajui kwamba wagiriki waljifunza kwa mababu weusi toka bara la Africa. Waafrika wanapaswa kufahamu kipindi hiki katika historia kwa sababu mfumo unajulikana kama white power na ubaguzi wa rangi hutumikia kama mfano wa mawazo bora ya Ulaya na ujuzi. Lakini tutajifunza nini kiini Cha Ugiriki na chanzo Cha hiyo idili ya Kiyunani " ndipo utajua kuna uongo mwingi mno kuhusu maendeleo ya Ulaya na ustaarabu wa Kiyunani. Kimsingi wanafunzi wa kigiriki walishindwa kupata SoMo la kuhani nyabinghi na kung'amua maana. Mojawapo ya makosa makubwa ambayo wengi wetu wa nchi za Kiafrika wanafanya wakati wa kuchunguza habari za kihistoria ni kudhani kwamba ubaguzi wa rangi ulikuwa ni sehemu ya zamani kama ilivyo leo. Hii siyo kweli. Ukatili na upumbavu huu kama tunavyojua leo haukuanza mpaka biashara ya watumwa wa Kiafrika ilipotekekezwa kikamilifu mapema miaka ya 1600. Upumbavu huu ulihalalisha haja ya kuwa na haki ya kuwafanya watu wengine watumwa dhidi ya mapenzi yao na mafundisho ya kipumbavvu ya dini pia yaliikuza(eti taifa teule, wengine Ng'ombe?) Mchakato wa mawazo uliobadilika kutoka kwa falsafa mbovu ya Kigiriki ambayo bado ni msingi wa mawazo ya kisayansi leo. Ni kweli kushindwa kwa Wagiriki kuupata ukweli, kutoka kwa walimu wake yaani jumla ya ufahamu wa binadamu. .dunia ya kale watu walistaarabika zaidi, na hasa bara la Africa
 
Back
Top Bottom