Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

hivi ubaguzi hasa ni kitu gani hua sielewi vizuri kwa nini mtu mweupe aonyeshe kumwona mweusi hana thamani kwani mweusi hawezi kufanya hivyo yaani kumnyanyasa mtu mweupe na kumtenga
hyo ni kutokana na wewe mwenyewe kukubali kama huna thamani ndo maana unatengwa na kubaguliwa
mtizamo tu
 
Hebu toa basi hicho ulichokificha tukielewe.
 
Nenda ukaombewe unapepo mchafu, 1MORAL AND DOGM BY ALBERT PIKE.
2BALFOUR DECLARATION.
 
So tusiwe tunaskiliza music mkuu
 
Watu wengi wanahusianisha ugiriki na ustaarabu wa ulaya, lakini hawajui kwamba wagiriki waljifunza kwa mababu weusi toka bara la Africa. Waafrika wanapaswa kufahamu kipindi hiki katika historia kwa sababu mfumo unajulikana kama white power na ubaguzi wa rangi hutumikia kama mfano wa mawazo bora ya Ulaya na ujuzi. Lakini tutajifunza nini kiini Cha Ugiriki na chanzo Cha hiyo idili ya Kiyunani " ndipo utajua kuna uongo mwingi mno kuhusu maendeleo ya Ulaya na ustaarabu wa Kiyunani. Kimsingi wanafunzi wa kigiriki walishindwa kupata SoMo la kuhani nyabinghi na kung'amua maana. Mojawapo ya makosa makubwa ambayo wengi wetu wa nchi za Kiafrika wanafanya wakati wa kuchunguza habari za kihistoria ni kudhani kwamba ubaguzi wa rangi ulikuwa ni sehemu ya zamani kama ilivyo leo. Hii siyo kweli. Ukatili na upumbavu huu kama tunavyojua leo haukuanza mpaka biashara ya watumwa wa Kiafrika ilipotekekezwa kikamilifu mapema miaka ya 1600. Upumbavu huu ulihalalisha haja ya kuwa na haki ya kuwafanya watu wengine watumwa dhidi ya mapenzi yao na mafundisho ya kipumbavvu ya dini pia yaliikuza(eti taifa teule, wengine Ng'ombe?) Mchakato wa mawazo uliobadilika kutoka kwa falsafa mbovu ya Kigiriki ambayo bado ni msingi wa mawazo ya kisayansi leo. Ni kweli kushindwa kwa Wagiriki kuupata ukweli, kutoka kwa walimu wake yaani jumla ya ufahamu wa binadamu. .dunia ya kale watu walistaarabika zaidi, na hasa bara la Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…