Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
- Thread starter
-
- #681
Mamake Muhammad alikuwa mweusi na babake pia, babu zao asili yao ilikuwa ethiopia, Muhammad hakwenda Ethiopia kama bahati mbaya, alikuwa anarudi kwa babu zake, kama Yesu alivyokwenda Misri, ilikuwa nyumbani...alikuwa mweusiMakureyshi walipenda kumdhihaki kwa kumuita MTOTO WA MWANAMKE MWEUSI
swali zuri, nasubiri majibuKwa nini mtume akupiga vita utumwa wakati uo. Wakati alikuwa na nguvu ya kijeshi.
Kwa nini uyo bilal mama yake alikuwa princess na Baba yake mtumwa.
Kwa nini walikuwa wana mtania mtoto Wa mama mweusi je baba yake alikuwa muarabu.
Hizo rasilimali unazosema, sio zetu, ni mali yote ya myahudi,mdeni wako, akichukuwa nyumba yako utasema Am a kufanya nini? Unajua maana ya deni la taifa?????
mwisho mimi sijatumwa, ni mtanzania mwenzenu mwenye uchungu na nchi na bara lake na watu weusi duniani kote, mimi Saw a ni mwarabu, lakini nimezaliwa zanzibar,na bado nina ndugu zangu hapo, mimi ni mtanzania narudia tena
Asante, hilo deni lina riba yake, huelewi what we mean, kila shilingi inamakato, ni mfumo wa kidunia, wewe nami hatu gombani, it's a matter of attitudes, the mindset ndio imeharibiwa, asante sana wichetFatima, deni letu la taifa ni kama PESA TU YA MFUKONI [pocket change] ukilinganisha na UTAJIRI tulionao. Fikiria rasimu ya taarifa ya Jaji Bomani kuhusu madini na vito vilivyothibitishwa idadi yake [proven reserves] ya $14trilioni bila kujumlisha utajiri wa madini yasiyofanyiwa utafiti, GESI, MAFUTA na vivutio vya UTALII, inakuwaje WEWE uamini ETI DENI LA takriban TSH.50 TRILIONI ni kubw gani a sana na tukililipa hatupati kitu? Hesabu gani hizo tunapiga hapa? au NDIYO TUMEROGWE kamili kamilifu?
I couldn't agree more, mawazo yako ni kweliNadhani kingine cha kufanya ni kuepuka kutoa majibu MEPESI SANA kwa maswali mazito huku tukigamba kwa sisi ndiyo wenye nchi, wazawa au watawala wa nchi ambayo hali yake ya KIUCHUMI, KISIASA NA KIJAMII ni tete mno. Kwa mwenendo huu GEREZA LITAENDELEA KUJAA WANAMTINDIO kila kukicha.
Pia tujaribu kutoa mwongozo wa NINI WATAWALA WANAWEZA KUFANYA ili kuepukana na MNASO WA KIMKAKATI [strategic traps] sababu wao pia ni sehemu ya JAMII HII YENYE MTINDIO WA MAONO [strategic myopy] hivyo kuwaacha peke yao na kuendelea kuwarundikia lawama haina tofauti na KUTWANGA MAJI
Swali kwanza siwezi kukujibu sababu hapa tunaongelea ukombozi wa mwafrika,Kwa nini mtume akupiga vita utumwa wakati uo. Wakati alikuwa na nguvu ya kijeshi.
Kwa nini uyo bilal mama yake alikuwa princess na Baba yake mtumwa.
Kwa nini walikuwa wana mtania mtoto Wa mama mweusi je baba yake alikuwa muarabu.
Ahsante sana.Swali kwanza siwezi kukujibu sababu hapa tunaongelea ukombozi wa mwafrika,
Baba yake alikua muarabu na mama yake muafrika wa Ethiopia na hivyo mtoto kutoka mweusi.
Kama nilivyokwambia historia yake imefinywa sana labda kama kuna wajuzi wengine wataongezea nyama.
acha upopoma...kwani neno technology kwako lina mantik ipi ""... kama technology isingekuwapo "" so wangekuwa wanatembea uchi"".. na waliweza vipi "" kupata madini Chuma na kuyayeyusha "" kisha kuyatumia katika kazi zao na vifaa vyao kama mapanga " jambia etc ""... kama technology isingekuwapo"" Yale ma pyramids yangejengwa vipi kule misri." Ethiopia "na Mexico "" Hawa watu wana wadanganya mnoooo ifike mahali mjitambue "" technology nimfumo wa utaalamu kwa mwanadamu ambao upo tangu mwanzo wa kuumbwa kwake " "ila huwa unapitia maboresho na kugundua vitu/mambo mapya kutokana na race ya binaadamu "" unaambiwa kuwa nuhu aliunda safina " na wewe unakubali hilo bila shaka"" kisha unakuja hapa unasema kwamba zamani hapakuwa na technology " huo utaalamu wakuunda safina unaitwaje """!? .....Hivi Mmerogwa au ""...!?Hebu weka sura yake? Maana kipindi hicho technologia ilikuwepo au nawe umekula maharage ya Mbeya.
Asanteacha upopoma...kwani neno technology kwako lina mantik ipi ""... kama technology isingekuwapo "" so wangekuwa wanatembea uchi"".. na waliweza vipi "" kupata madini Chuma na kuyayeyusha "" kisha kuyatumia katika kazi zao na vifaa vyao kama mapanga " jambia etc ""... kama technology isingekuwapo"" Yale ma pyramids yangejengwa vipi kule misri." Ethiopia "na Mexico "" Hawa watu wana wadanganya mnoooo ifike mahali mjitambue "" technology nimfumo wa utaalamu kwa mwanadamu ambao upo tangu mwanzo wa kuumbwa kwake " "ila huwa unapitia maboresho na kugundua vitu/mambo mapya kutokana na race ya binaadamu "" unaambiwa kuwa nuhu aliunda safina " na wewe unakubali hilo bila shaka"" kisha unakuja hapa unasema kwamba zamani hapakuwa na technology " huo utaalamu wakuunda safina unaitwaje """!? .....Hivi Mmerogwa au ""...!?
sasa kama imefichwa utaweza vipi kuiona ...khaaa !!!Iweke basi tuone..
mkuu hao wamerogwa akili " achana nao ""Mkuu umesema imeandikwa ,je imeandikwa na nani wewe ni nani mpka umuhukumu mwenzako na kumuita shetani ,yaani kwa sababu ya mitazamo tofauti tu ,nachelea kusema unaamini usichokijua
hahaha watu sijui wakoje "" kama wanautapia mlo wa akili " eti Mtu anaambiwa hakuna picha ya muhhamad nayeye ana amini".. wakati huo huo ana kubali kuwa "" muhhamad alikuwa ni mtawala wa wakati huo kwa waislam wote "" hivi kweli asipatikane hata nguli mmoja wapo wa kuchora " ambaye alishawahi kumchora " na picha zake zikahifadhiwa kweli ".... eti wanakwenda mbali zaidi nakusema kwamba ilikuwa ukimchora picha zinaungua ......"" hahahaAsante
walificha picha, hatimaye kuziteketeza, kisa alikuwa mweusi, kisha wakaanza kuyachakachua maandiko yaliyozungumza kuhusu ubini na rangi ya ngozi yakehahaha watu sijui wakoje "" kama wanautapia mlo wa akili " eti Mtu anaambiwa hakuna picha ya muhhamad nayeye ana amini".. wakati huo huo ana kubali kuwa "" muhhamad alikuwa ni mtawala wa wakati huo kwa waislam wote "" hivi kweli asipatikane hata nguli mmoja wapo wa kuchora " ambaye alishawahi kumchora " na picha zake zikahifadhiwa kweli ".... eti wanakwenda mbali zaidi nakusema kwamba ilikuwa ukimchora picha zinaungua ......"" hahaha
Umenifanya nizidi kufikiria kwa mapana zaidihahaha watu sijui wakoje "" kama wanautapia mlo wa akili " eti Mtu anaambiwa hakuna picha ya muhhamad nayeye ana amini".. wakati huo huo ana kubali kuwa "" muhhamad alikuwa ni mtawala wa wakati huo kwa waislam wote "" hivi kweli asipatikane hata nguli mmoja wapo wa kuchora " ambaye alishawahi kumchora " na picha zake zikahifadhiwa kweli ".... eti wanakwenda mbali zaidi nakusema kwamba ilikuwa ukimchora picha zinaungua ......"" hahaha
Picha ya Leonard Davince, Michelegelo. Mbona zilikuepo na wakati uo kulikuwa akuna camera. Samahani majina yao siwezi kuya andika vizuri.hahaha watu sijui wakoje "" kama wanautapia mlo wa akili " eti Mtu anaambiwa hakuna picha ya muhhamad nayeye ana amini".. wakati huo huo ana kubali kuwa "" muhhamad alikuwa ni mtawala wa wakati huo kwa waislam wote "" hivi kweli asipatikane hata nguli mmoja wapo wa kuchora " ambaye alishawahi kumchora " na picha zake zikahifadhiwa kweli ".... eti wanakwenda mbali zaidi nakusema kwamba ilikuwa ukimchora picha zinaungua ......"" hahaha
Ni sahihi, kutokuwepo taswira ya Muhammad ni agenda ya makusudi kuficha ukweliPicha ya Leonard Davince, Michelegelo. Mbona zilikuepo na wakati uo kulikuwa akuna camera. Samahani majina yao siwezi kuya andika vizuri.