Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
- Thread starter
- #681
Mamake Muhammad alikuwa mweusi na babake pia, babu zao asili yao ilikuwa ethiopia, Muhammad hakwenda Ethiopia kama bahati mbaya, alikuwa anarudi kwa babu zake, kama Yesu alivyokwenda Misri, ilikuwa nyumbani...alikuwa mweusiMakureyshi walipenda kumdhihaki kwa kumuita MTOTO WA MWANAMKE MWEUSI