Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Ni Bora Ubaguzi Wa Rangi Kuliko Anaouleta Mleta Mada
ukombozi wa ki fikra wa weusi unakuuma eeh.., Unataka tubakie gizani....uzidi kuchota, dhahabu, mchanga, na makinika yake????Huu uzi unakuuma eeh☺☺☺☺☺
wewe na wenzio wote, wahujumu wa utu wa mweusi, hapa ndio kiama chenu
 
Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie
Hao mizimu ni akina nani?? Mizimu ni "mashetani" yanayojigeuza na kujifanya ni watu waliokufa zamani. Sikia wewe mdada Fatima binti hemedi iko hivi; kwangu mimi YESU KRISTO ndiyo njia, kweli, na uzima.

YESU KRISTO pekee ndiyo jina tulilopewa na BWANA MUNGU ili tulitumainie na kutuokoa. Hata wewe nakuomba kuanzia leo anza kumtumainia YESU KRISTO na utaupokea uzima wa milele na hao "mapepo" unaowaita "mizimu" watakukimbia na utakuwa huru, tena utakuwa huru kweli kweli.
 

Asante kwa mawazo yako, tunayathamini...je unaweza kutuambia Yesu ni na ni? Shetani ni Nani? Na mizimu ni Nani??? Make nyinyi ndio Askari, na nyapara katika gereza la myahudi.....ndugu mmekariri maandiko ya wayahudi Kama misukule vile, bila kuhoji asili chanzo na uhalaliwake, ndugu hatutaki Vita ya tatu ya dunia, kwanini munaiteketeza dunia mkiotea mji was kufikirika ulioko kwenye mawingu??? Uchawi wa wayahudi kupitia vitabu vyao utaiangamiza dunia
 
But hii ndio vita ya myahudi, iko kwenye akili, tumepoteza ndugu wengi kwenye mafundisho ya wayahudi, watu hawajipendi tena, hawapendi vya kwao, hawapendani tena wao kwa wao....na shetani ndio amekuwa kiumbe cheusi,Mungu mzungu☺☺☺☺☺☺☺
 
Na ninakuhakikishia we son of gamba na wenzio wakiristo na waisilamu ni Msukule tu katika gereza la wayahudi...huijui biblia, Wala Yesu, wala shetani, na tuko hapa tutakufunza, ujitambue, uanze upya kujipenda nafsi yako, na vyote vya kwako, hivyo hivyo nchi na bara lako, na ukome kuwatukana muzimu, mababu na wahenga wako
 
Neno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…