Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Kiranga kaka labda hujanielewa, nilibase kwenye ushahidi wako wa wikipedia.
Wikipedia ni miongoni mwa search engine ambayo ipo chini ya watu ambao ni maadui zetu, kivipi wataandika ukweli kaka, ni hilo tu.
Sio, hoja,imani sasa haifuati rangi, binti Hemedi mbona kaamua kuwa mwafirika? Muulizeni Fantasma kuna wayahudi wanasapoti ukombozi wa Africa, na wanakosoa dini Zao wenyewe, white body , black at heart, black body white at heart
 
Binadamu anapozaliwa tu, anajikuta yupo chini ya utawala wa Mama.
Mama anaamua amnyonyeshe au la, na kama hivyo ni muda gani.
Mama ndiye anayeamua akunyonyeshe hadi ushibe au kabla.
Mama ndiye Malkia na kamwe binadamu huyo mdogo hawezi kujitoa chini ya utawala wa huyo Malkia.
Yeye ataamua binadamu huyu ni muda gani, alale,aamke, ale, aoge, avae nk.
Hapa inapita miaka kadhaa kabla ya kujikuta chini ya utawala wa Malkia na Mfalme Baba.
Hawa watawala watammiliki huyu binadamu kwa kipindi fulani pia.
Katika kipindi hicho binadamu inampasa kufuata sheria zote anazopangiwa na hao ma mjamaa, la sivyo kuna adhabu zitamfika, kama kuchapwa viboko, makofi, kufinywa, kunyimwa chakula, kutishwa na hawezi kujinasua nao.
Binadamu huyu anazidi kukua, Baba na mama wananza kuona kuwa kijana anapata uwezo unaolingana na wao, wanaanza kuogopa kumchapa kama hatafuata wanavyotaka, wanaamua jambo lingine nalo ni kumkabidhi kwa Jamii.
Kijana anakabidhiwa kwa Jamii au taasisi zake.
Anaanza kupelekwa Shule, ili kafunzwe ustaraabu zaidi, hapo akiwakosea wazazi hawamchapi tena, wanamwogopa, watachukua hatua ya kumuonya na ikishindikana wanampeleka Polisi.
Juhudi zote hizo wanataka kijana afuate sheria fulani fulani ambazo zinazunguka ndani ya jamii husika.
Kijana kwakuwa sasa anapaswa kuwaacha wazazi na kwenda Shule, au taasisi nyingine ya kijamii, ambako atakutana na watu wenye mafundisho mengine, wazazi wanaamua kumlinda kwa kumkabidhi kwa taasisi za Ki imani.
Ili kuirutubisha akili yake isimtume kijana kufanya matendo ambayo hayakubaliki na jamii hiyo.
Kijana anapokuwa mtu mzima haraka haraka anakabidhiwa wake wa jinsia nyingine kwa Amri ya Ndoa ili asilale peke yake, asije akalala Bar.
Katika ndoa nako kuna sheria kibao za kuzifuata, kijana analazimika kusaini mkataba wa ndoa, na anaambiwa kabisa hakuna kuvunja ndoa kirahisirahisi. Kwa kujiamlia tu asubuhi unapoamka.
Hapo mke au mume anakuwa sio mpenzi tu, bali Polisi pia.
Polisi wa kumlinda kijana ili asikengeuke
Kijana lazima umsirikishe huyu Mpenzi Polisi katika kila jambo unalo amua kufanya.
Hata ukitaka kuondoka nyumbani lazima umuage huyu Mlinzi wako.
Ni lazima umtii huyu Mpenzi kumbe ni Mlinzi.
Na kwakuwa mko peke yenu lazima na nyinyi wote mlindwe na Mlinzi Mwingine msije mkakengeuka wote wawili ikawa badala ya kulala Nyumbani mjalala Kasino.
Hapa sasa mnakabidhiwa kwa walinzi wawili, Jirani na Serikali.
Mkigombana tu mlinzi wa kwanza anawajia ( jirani) atajaribu kuwa suluhisha mkiwa wabishi anaripoti kwa mlinzi wa tatu, Polisi, Serikali.
Hapo ukiendelea kuwa mbishi Polisi anajua pa kukupeleka, na unaweza ukapotea moja kwa moja kama hutajirekebisha.
Sasa basi
Tunaona kila hatua ya binadamu kuna ulinzi unamfuatilia, upo nyuma yake ambao tunauona kwa macho.
Swali linalobaki huyu mlinzi atalindwa na nani ?
Ili kumfanya asimwonee binadamu anapo taka, yaani mlinzi, mke au mume, mlinzi jirani, mlinzi polisi, mlinzi Serikali, nk.
Ili mlinzi mmoja asimwonee mwenzake hapa ndipo anapojitokeza mlinzi mkuu.
Jamii inampa cheo, cha Uungu, huyo ndiye Mungu, huyo anajulikana kuwa ni Alfa na Omega. Muweza wa yote, Almighty.
Katika kila jamii ukiitembelea ina Mungu wake.
Nenda Uchina, nenda Brazil nenda kokote duniani utamkuta huyo Mungu ambaye jamii inamwogopa na kumheshimu sana sana, na kulazimika kumtii kwa kila anachosema.
Ukikosea kimtii jamii inaweza kukuadhibu, sehemu nyingine unakatwa kichwa kabisa kwa kumkose, au Kumkufuru, huyo Mungu.
Tanaona hadi leo, Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikitaka kuanza kutunga sheria zake Bungeni, lazima kwenye ufunguzi wa kikao kuna Kusali uli kupata baraka zake, huyo Mungu.
Ref. Sala ya Bunge.
Iko pia sala ya Taifa, ambayo inajulikana kama Wimbo wa Taifa.
Humo Mungu hutajwa sana, ili aibariki Nchi, Viongozi na Watu wake.
Yaani vyoote hivyo ni vyake, mali yake, yeye ndiye aliyevitengeneza, na hana mshirika.
Leo tunaona Viongozi wa Serikali wakiwa wanawaonea Raia wanaowaongoza, wanakaripiwa vikali na Wafanyakazi wa huyo Mungu, wanaojulikana kama Watumishi wa Mungu.
Wana vyeo kama vile, Shehe, Imamu, Padri, Askofu, Mchungaji nk.
Wanaionya Serikali kwa Nyaraka na Matamko, na kuitisha kuwa wataishitaki kwa Mungu, nayo Serukali inaogopa na kujirekebisha kiasi fulani fulani.
(Hapa nilikuwa nadadavua uhalisia wa kimaisha wa Binadamu)
Binadamu anazungukwa na walinzi kila kona. Kila dakika kila sekunde, walinzi wanaoonekana na wasioonekana.
Uhuru wa wa kifikra utapatikana wapi kwa binadamu ?
maana ukiwa huru kifikra unakuwa huru kimatendo pia.
Toka anazaliwa hadi anakufa Binadamu hayuko huru kuamua au kutenda anachotaka mwenyewe binafsi.
Kwa mfano.
Hapa Tanzania mtu akiamua kutumia madawa ya kulevya anakamatwa, akitaka kupanda Bangi shambani mwake ili aitumie anakatazwa na hata kutishiwa kufungwa na Mlinzi Serikali.
Hapo uhuru uko wapi ?
Bangi navuta mimi wewe
Inakuhusu nini ?
Mbona unaiingilia uhuru wangu mimi binafsi ukichukulia sivuti hadharani bangi yangu ?
Mwenyewe napenda kuvuta huku nikiimba
" Bangi Nibangue nilime hadi kuleee "
Bangi usiyovuta yakuwashiani ?
Kuna uhuru hapo ?
Uhuru gani wa kulazimishwa kutii sheria alizotunga mtu
mwingine ? Au Mungu ?
Maana ya Uhuru ni Kuwa Huru Kifikra na Kimatendo pia.
(To Be Total Free)
Je unaweza kujikomboa kwenye mikono ya hawa walinzi wote nilio wataja ukianzia na Mama mzazi ?
Anafuata, Mke au Mume, Jirani, Serikali, na Mungu ?
Au unataka usimtii mmojawapo kati ya hao walinzi ?
Ndipo ujulikane kuwa uko huru ?
Hit.
Binadamu hawezi kuwa huru,
kwani analazimika kutii sheria alizowekewa na waliomtangulia, la sivyo atakumbana na adhabu kali zinazoweza hata kumtoa uhai wake, kama ataendele kuwa mkaidi.
Hello to Free Men.
umenena mitoga, saluti
 
Uislamu umeanzishwa kama movement ya Waarabu baada ya Waarabu kuwaonea gele Wayahudi wana dini yao ya kitabu na Waarabu hawana. Ukisoma Quran inaongelea "People of the Book" maana yake Wakristo na Wayahudi.

Kipindi cha mwanzo cha Uislamu, misikitini watu walikuwa hawaelekei Kibra Mecca, walikuwa wanaelekea Jerusalem.

Mitume na watu wengi sana walioelezwa jatika vitabu vya Wayahudi, kuanzia Adam, Musa, Ibrahim mpaka Yesu (Isa bin Mariam) wanatambulika katika Uislamu kama mitume. Musa katajwa kwenye Quran kuliko mtu mwingine yeyote.

Uyahudi, Ukristo na Uislamu zote zinaitwa "Abrahamic" religion kwa sababu zinachangua historia moja. Uislamu umesukumwa sana na Uyahudi katika misingi yake, sheria na kazi zake.

For more, see this Wiki

Islamic–Jewish relations - Wikipedia
Asante
 
Binadamu anapozaliwa tu, anajikuta yupo chini ya utawala wa Mama.
Mama anaamua amnyonyeshe au la, na kama hivyo ni muda gani.
Mama ndiye anayeamua akunyonyeshe hadi ushibe au kabla.
Mama ndiye Malkia na kamwe binadamu huyo mdogo hawezi kujitoa chini ya utawala wa huyo Malkia.
Yeye ataamua binadamu huyu ni muda gani, alale,aamke, ale, aoge, avae nk.
Hapa inapita miaka kadhaa kabla ya kujikuta chini ya utawala wa Malkia na Mfalme Baba.
Hawa watawala watammiliki huyu binadamu kwa kipindi fulani pia.
Katika kipindi hicho binadamu inampasa kufuata sheria zote anazopangiwa na hao ma mjamaa, la sivyo kuna adhabu zitamfika, kama kuchapwa viboko, makofi, kufinywa, kunyimwa chakula, kutishwa na hawezi kujinasua nao.
Binadamu huyu anazidi kukua, Baba na mama wananza kuona kuwa kijana anapata uwezo unaolingana na wao, wanaanza kuogopa kumchapa kama hatafuata wanavyotaka, wanaamua jambo lingine nalo ni kumkabidhi kwa Jamii.
Kijana anakabidhiwa kwa Jamii au taasisi zake.
Anaanza kupelekwa Shule, ili kafunzwe ustaraabu zaidi, hapo akiwakosea wazazi hawamchapi tena, wanamwogopa, watachukua hatua ya kumuonya na ikishindikana wanampeleka Polisi.
Juhudi zote hizo wanataka kijana afuate sheria fulani fulani ambazo zinazunguka ndani ya jamii husika.
Kijana kwakuwa sasa anapaswa kuwaacha wazazi na kwenda Shule, au taasisi nyingine ya kijamii, ambako atakutana na watu wenye mafundisho mengine, wazazi wanaamua kumlinda kwa kumkabidhi kwa taasisi za Ki imani.
Ili kuirutubisha akili yake isimtume kijana kufanya matendo ambayo hayakubaliki na jamii hiyo.
Kijana anapokuwa mtu mzima haraka haraka anakabidhiwa wake wa jinsia nyingine kwa Amri ya Ndoa ili asilale peke yake, asije akalala Bar.
Katika ndoa nako kuna sheria kibao za kuzifuata, kijana analazimika kusaini mkataba wa ndoa, na anaambiwa kabisa hakuna kuvunja ndoa kirahisirahisi. Kwa kujiamlia tu asubuhi unapoamka.
Hapo mke au mume anakuwa sio mpenzi tu, bali Polisi pia.
Polisi wa kumlinda kijana ili asikengeuke
Kijana lazima umsirikishe huyu Mpenzi Polisi katika kila jambo unalo amua kufanya.
Hata ukitaka kuondoka nyumbani lazima umuage huyu Mlinzi wako.
Ni lazima umtii huyu Mpenzi kumbe ni Mlinzi.
Na kwakuwa mko peke yenu lazima na nyinyi wote mlindwe na Mlinzi Mwingine msije mkakengeuka wote wawili ikawa badala ya kulala Nyumbani mjalala Kasino.
Hapa sasa mnakabidhiwa kwa walinzi wawili, Jirani na Serikali.
Mkigombana tu mlinzi wa kwanza anawajia ( jirani) atajaribu kuwa suluhisha mkiwa wabishi anaripoti kwa mlinzi wa tatu, Polisi, Serikali.
Hapo ukiendelea kuwa mbishi Polisi anajua pa kukupeleka, na unaweza ukapotea moja kwa moja kama hutajirekebisha.
Sasa basi
Tunaona kila hatua ya binadamu kuna ulinzi unamfuatilia, upo nyuma yake ambao tunauona kwa macho.
Swali linalobaki huyu mlinzi atalindwa na nani ?
Ili kumfanya asimwonee binadamu anapo taka, yaani mlinzi, mke au mume, mlinzi jirani, mlinzi polisi, mlinzi Serikali, nk.
Ili mlinzi mmoja asimwonee mwenzake hapa ndipo anapojitokeza mlinzi mkuu.
Jamii inampa cheo, cha Uungu, huyo ndiye Mungu, huyo anajulikana kuwa ni Alfa na Omega. Muweza wa yote, Almighty.
Katika kila jamii ukiitembelea ina Mungu wake.
Nenda Uchina, nenda Brazil nenda kokote duniani utamkuta huyo Mungu ambaye jamii inamwogopa na kumheshimu sana sana, na kulazimika kumtii kwa kila anachosema.
Ukikosea kimtii jamii inaweza kukuadhibu, sehemu nyingine unakatwa kichwa kabisa kwa kumkose, au Kumkufuru, huyo Mungu.
Tanaona hadi leo, Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikitaka kuanza kutunga sheria zake Bungeni, lazima kwenye ufunguzi wa kikao kuna Kusali uli kupata baraka zake, huyo Mungu.
Ref. Sala ya Bunge.
Iko pia sala ya Taifa, ambayo inajulikana kama Wimbo wa Taifa.
Humo Mungu hutajwa sana, ili aibariki Nchi, Viongozi na Watu wake.
Yaani vyoote hivyo ni vyake, mali yake, yeye ndiye aliyevitengeneza, na hana mshirika.
Leo tunaona Viongozi wa Serikali wakiwa wanawaonea Raia wanaowaongoza, wanakaripiwa vikali na Wafanyakazi wa huyo Mungu, wanaojulikana kama Watumishi wa Mungu.
Wana vyeo kama vile, Shehe, Imamu, Padri, Askofu, Mchungaji nk.
Wanaionya Serikali kwa Nyaraka na Matamko, na kuitisha kuwa wataishitaki kwa Mungu, nayo Serukali inaogopa na kujirekebisha kiasi fulani fulani.
(Hapa nilikuwa nadadavua uhalisia wa kimaisha wa Binadamu)
Binadamu anazungukwa na walinzi kila kona. Kila dakika kila sekunde, walinzi wanaoonekana na wasioonekana.
Uhuru wa wa kifikra utapatikana wapi kwa binadamu ?
maana ukiwa huru kifikra unakuwa huru kimatendo pia.
Toka anazaliwa hadi anakufa Binadamu hayuko huru kuamua au kutenda anachotaka mwenyewe binafsi.
Kwa mfano.
Hapa Tanzania mtu akiamua kutumia madawa ya kulevya anakamatwa, akitaka kupanda Bangi shambani mwake ili aitumie anakatazwa na hata kutishiwa kufungwa na Mlinzi Serikali.
Hapo uhuru uko wapi ?
Bangi navuta mimi wewe
Inakuhusu nini ?
Mbona unaiingilia uhuru wangu mimi binafsi ukichukulia sivuti hadharani bangi yangu ?
Mwenyewe napenda kuvuta huku nikiimba
" Bangi Nibangue nilime hadi kuleee "
Bangi usiyovuta yakuwashiani ?
Kuna uhuru hapo ?
Uhuru gani wa kulazimishwa kutii sheria alizotunga mtu
mwingine ? Au Mungu ?
Maana ya Uhuru ni Kuwa Huru Kifikra na Kimatendo pia.
(To Be Total Free)
Je unaweza kujikomboa kwenye mikono ya hawa walinzi wote nilio wataja ukianzia na Mama mzazi ?
Anafuata, Mke au Mume, Jirani, Serikali, na Mungu ?
Au unataka usimtii mmojawapo kati ya hao walinzi ?
Ndipo ujulikane kuwa uko huru ?
Hit.
Binadamu hawezi kuwa huru,
kwani analazimika kutii sheria alizowekewa na waliomtangulia, la sivyo atakumbana na adhabu kali zinazoweza hata kumtoa uhai wake, kama ataendele kuwa mkaidi.
Hello to Free Men.
mitoga upo makini
 
Tuendelee kujikomboa kwa kuangalia weakness zetu tukimlaumu mzungu sijui muyahudi mara dini nk. Tutatoka vipi katika utumwa huu wa fikra stop blaming bhana unataka tuifuate mizimu bado tutakuwa tumefungwa na fikra za mizimu ambayo they have nothing to do with our existance and our life. In order to be free we have to focus within ourselves na si kuanza kuleta blah blah za uyahudi na uzungu mara dini nk as if we are struggling to have superiority status. Hii siyo battle ya ubora na nguvu ya race fulani. Tunamjadili muyahudi wa kazi gani unaelezewa uislaM n ukristo for what purpose? Mungu kaumba kila race na ability strength intelligence etc tufocus kurealize our ability our stregth as a black race, lets rise up this domant power within ouselves, let us ground ourselves without being dependent to any race.

Nimejaribu kuchangia tu ni mawazo yangu ya kile ninachoamini ni ukweli
mawazo yako yanathaminiwa asante
 
Kiranga kaka labda hujanielewa, nilibase kwenye ushahidi wako wa wikipedia.
Wikipedia ni miongoni mwa search engine ambayo ipo chini ya watu ambao ni maadui zetu, kivipi wataandika ukweli kaka, ni hilo tu.

Wikipedia ni search engine? Unaelewa search engine ni nini?

Unaelewa kwamba Wikipedia link niliwekwa kwa habari za ziada na kwamba main arguments nikishaweka kwenye body of my post?

Katika hiyo link ya Wikipedia, kipi kimekosewa ambacho unakipinga tukijadili?

Au unapinga kitu kwa sababu kimeandikwa katika Wikipedia tu? Hata Wikioedia ikisema wewe upo na ni mtu utapinga?

What kund of intellectual snobbery that is not data driven is this?

Pinga Wikipedia kwa data. Sema Wimioedia is rubbish. Hapa wameandika uongo huu. Ukienda Oxford na Harvard wameandika tofauti.

Nipe point kama hiyo hata moja tuijadili.

Mimi watu wanaotrash Wimioedia bila kutoa soecific point, nawaona hawana point ya ku trash, wana jump on the bandwagon tu.

Otherwise, nipe point specific ambapo Wikioedia wamekosea tuijadili.

Kama umeshindwa kukosoa Wikipedia, nikianza kufungua mijuzuu yangu ya Albert Hourani, Mustafa Akyol, Christopher de Bellaigue, Eugene Rogan, Martin Lings, Abd al-Rahman ibn Khaldun etc, utaweza kukosoa minuscule atom splitting?

Umeshindwa kuoanda kichuguu unalalamika hujapewa mlima Kilimanjaro kupanda?
 
Unaelewa kwamba Wikioedia linkniliwekwa kwa habari za ziada na kwamba main arguments nikishaweka kwenye body of my post?

Katika hiyo link ya Wikipedia, kipi kimekosewa ambacho unakipinga tukijadili?

Au unapinga kitu kwa sababu kimeandikwa katika Wikipedia tu? Hata Wikioedia ikisema wewe upo na ni mtu utapinga?

What kund if intellectual snobbery that is not data driven is this?

Pinga Wikioedia kwa data. Sema Wimioedia is rubbish. Hapa wameandika uongo huu. Ukienda Oxford na Harvard wameandika tofauti.

Nioe point kama hiyo hata moja tuijadili.

Mimi watu wanaotrash Wimioedia bila kutoa soecific point, nawaona hawana point ya ku trash, wana jump on the bandwagon tu.

Otherwise, nipe point specific ambapo Wikioedia wamekosea tuijadili.

Kama umeshindwa kukosoa Wikipedia, nikianza kufungua mijuzuu yangu ya Albert Hourani, Mustafa Akyol, Christopher de Bellaigue, Eugene Rogan, Martin Lings, Abd al-Rahman ibn Khaldun etc, utaweza kukosoa minuscule atom splitting?

Umeshindwa kuoanda kichuguu unalalamika hujapewa mlima Kilimanjaro kupanda?
lazima watu wafunguke kujifunza
 
lazima watu wafunguke kujifunza
Mtu anajifanya intellectual snob.

Halafu anaanza kukupinga kwa kukwambia "Wikipedia ni search engine".

Wikipedia ni search engine?

For real?

Mpaka hapo tu nishaona tatizo na sababu kwa nini mtu hawezi kujadiki content anaishia maneno ya jumlajumla.
 
Yagashya, alikuwa mtu mweusi kutoka Ethiopa, alikuwa kama mganga wa kienyeji, mwenye maarifa mengi, alikuwa pandikizi la mtu jeusi, alikuwa na ndugu zake Israeli, alikemea serikali ya rumi, na mafundisho mabovu ya mafarisayo na masadukayo, akachukiwa na wote, hawakuweza kumkabili hata watu kumi, alikuwa warrior, alikuwa ngumi mkononi, ukimletea anakuchapa makonde, japo alikuwa mpole mwenye nguvu za miujiza, wengine walimuhisi uchawi, mwisho walijaribu kumchoma moto, lakini alipotea kimuujiza, alafu akaonekana tena sehemu mbalimbali....Yesu mweupe ni mwigo wa Wayahudi kuhusu huyu bwana, ikiwa ni pamoja na ule wa Socrates ambaye wanaficha ubini wake, alikuwa mtu mweusi pia
 
...hebu tupe uliyonayo kuhusu huyo jamaa ili tuanzie hapo kwenye safari yetu ya Ethiopia

...thanks mkuu
 
Asee japo umegusia kdg lkn imenivutia ,unaweza kuendelea zaidi ,kuzaliwa kwake,wazazi wake na hao ndugu zake,ikiwemo baadhi ya miujiza yake
 
Wikipedia ni search engine? Unaelewa search engine ni nini?

Unaelewa kwamba Wikipedia link niliwekwa kwa habari za ziada na kwamba main arguments nikishaweka kwenye body of my post?

Katika hiyo link ya Wikipedia, kipi kimekosewa ambacho unakipinga tukijadili?

Au unapinga kitu kwa sababu kimeandikwa katika Wikipedia tu? Hata Wikioedia ikisema wewe upo na ni mtu utapinga?

What kund of intellectual snobbery that is not data driven is this?

Pinga Wikipedia kwa data. Sema Wimioedia is rubbish. Hapa wameandika uongo huu. Ukienda Oxford na Harvard wameandika tofauti.

Nipe point kama hiyo hata moja tuijadili.

Mimi watu wanaotrash Wimioedia bila kutoa soecific point, nawaona hawana point ya ku trash, wana jump on the bandwagon tu.

Otherwise, nipe point specific ambapo Wikioedia wamekosea tuijadili.

Kama umeshindwa kukosoa Wikipedia, nikianza kufungua mijuzuu yangu ya Albert Hourani, Mustafa Akyol, Christopher de Bellaigue, Eugene Rogan, Martin Lings, Abd al-Rahman ibn Khaldun etc, utaweza kukosoa minuscule atom splitting?

Umeshindwa kuoanda kichuguu unalalamika hujapewa mlima Kilimanjaro kupanda?
Hahaa kaka nitakujib wacha niangalie mpira
 
Back
Top Bottom