Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Nimejifunza kitu,naomba usinichoke je yeye ,Yagashya aliiamini ktk dini ipi ,au ktk ibada zipiAlikulia ancient Egypt, alikuwa aalimu adhimu, ukoo wao uko hata leo na inawezekana ndio kizazi kilekile kilichomtoa Muhammad
Tunaweza kwenda na wewe, aya kwa aya kwenye Qur'an, mstari kwa mstari kwenye biblia, na tukakwambia ni yapi maneno yaliyosemwa na manabii, wahenga wetu wa zamani, na yapi uongo yameongezwa...Yagashya alisema, haitakuwa mlima huu, ama Mlima ule, bali waumini Mungu watamwabudu katika roho na ukweliNimejifunza kitu,naomba usinichoke je yeye ,Yagashya aliiamini ktk dini ipi ,au ktk ibada zipi
Hii mitandao inasaidia sana lakini upande mwingine inapotosha sana usipokuwa makini ukawa wa kubebabeba tu kila unachosoma unasadiki kiukweli ni rahisi kupotea na kuangamia sijui tunawasaidiaje ndugu zetu hawa maana tayari kwa mujibu mada hii ni kama kuna watu aidha wanataka kuanzisha dini yao ama wamepotoshwa na mitandao...inasikitisha sana lakini pia juhudi kubwa zinahitajika kuwaokoa wandugu hawa
Hili swali nami nimejifikiria sana lkn naamini kizazi Kijacho kitakua huru mada hii naifuatilia naamini yapo mengi yatanibadirisha kifikraAngalia vijana wetu, wanatumia nguvu, akili, jasho na damu yao kuwapatia wafaransa kombe la dunia☺☺☺☺☺☺☺ fikiria Africa Moja na timu moja ya mpira, ingekuwaje?
karibuHili swali nami nimejifikiria sana lkn naamini kizazi Kijacho kitakua huru mada hii naifuatilia naamini yapo mengi yatanibadirisha kifikra
Naendelea kujifunza zaidi na zaidi ,usiniache ktk haya mambo MkuuTunaweza kwenda na wewe, aya kwa aya kwenye Qur'an, mstari kwa mstari kwenye biblia, na tukakwambia ni yapi maneno yaliyosemwa na manabii, wahenga wetu wa zamani, na yapi uongo yameongezwa...Yagashya alisema, haitakuwa mlima huu, ama Mlima ule, bali waumini Mungu watamwabudu katika roho na ukweli
Tuko pamoja kabisa, usiwe na shakaNaendelea kujifunza zaidi na zaidi ,usiniache ktk haya mambo Mkuu
Mzimu ni roho, swali ni je unahitaji mzimu wa yesu kukukomboa mtu mweusi?Hivi ni kweli Watu wa Afrika tunahitaji Mizimu kama ndio njia sahihi ya kufikia Mafanikio(Kwa Ujumla wake) kama Wazungu ?.
Collective consciousness, heard about it?Hivi tunahitaji kuambiwa na Mizimu kuwa Mboga za Majani tunazo kula zime kuzwa na Sumu hivyo tukizitumia zita haribu Mfumo wa Miili yetu !!..Kweli ?
Collective consciousness, heard about it?
I personally find that question irrelevant, ungeanza kwa kuwauliza wakiristo na waisilamu Hilo swali, ndipo uanze kuhoji kwanini mizimu yetu waliita mashetani.....wanaabudu midoli na mawe kisha wanaisumbua dunia nzima, mara lugha takatifu, mara kiarabu, mara kiyahudi........Nini bana!!!!! Nyie acheni kasumba, na usikule dini, anzeni kupenda na kuheshimu vya kwenuMkuu bado hauja jibu nilicho uliza Mkuu ,upi ni Muunganiko yani kati ya Uelewa wa Mtu na Mzimu how !?.
Further more, swali lako kaziulize hizo taasisi dini mambo leo, ambazo zimesimama katika misingi ya mizimuMkuu bado hauja jibu nilicho uliza Mkuu ,upi ni Muunganiko yani kati ya Uelewa wa Mtu na Mzimu how !?.
Conscience is a spiritual component of a human nature, binadamu ni mzimu ulio hai, maiti ni mwili pasipo mzimu, asanAsCollective consciousness, heard about it?
We huna swali, bali majibu, na uyapigie mstariMkuu bado hauja jibu nilicho uliza Mkuu ,upi ni Muunganiko yani kati ya Uelewa wa Mtu na Mzimu how !?.
KiajeIbrahimu, isaka yakobo,kimweri,mansa kankan musa,mirambo, Sara wa biblia, Fatima na hadija wa quran, yote mizimu tu, tatizo, mizimu ya weusi, inafanyiwa ubaguzi
Kumbe ibrahimu, Isaka na Yakobo ni wafu, basi Mungu wao pia ni mfu, mnaabudu Nini?Kiaje