Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Nimejifunza kitu,naomba usinichoke je yeye ,Yagashya aliiamini ktk dini ipi ,au ktk ibada zipi
Tunaweza kwenda na wewe, aya kwa aya kwenye Qur'an, mstari kwa mstari kwenye biblia, na tukakwambia ni yapi maneno yaliyosemwa na manabii, wahenga wetu wa zamani, na yapi uongo yameongezwa...Yagashya alisema, haitakuwa mlima huu, ama Mlima ule, bali waumini Mungu watamwabudu katika roho na ukweli
 
Hii mitandao inasaidia sana lakini upande mwingine inapotosha sana usipokuwa makini ukawa wa kubebabeba tu kila unachosoma unasadiki kiukweli ni rahisi kupotea na kuangamia sijui tunawasaidiaje ndugu zetu hawa maana tayari kwa mujibu mada hii ni kama kuna watu aidha wanataka kuanzisha dini yao ama wamepotoshwa na mitandao...inasikitisha sana lakini pia juhudi kubwa zinahitajika kuwaokoa wandugu hawa
Angalia vijana wetu, wanatumia nguvu, akili, jasho na damu yao kuwapatia wafaransa kombe la dunia☺☺☺☺☺☺☺ fikiria Africa Moja na timu moja ya mpira, ingekuwaje?
Hili swali nami nimejifikiria sana lkn naamini kizazi Kijacho kitakua huru mada hii naifuatilia naamini yapo mengi yatanibadirisha kifikra
 
Tunaweza kwenda na wewe, aya kwa aya kwenye Qur'an, mstari kwa mstari kwenye biblia, na tukakwambia ni yapi maneno yaliyosemwa na manabii, wahenga wetu wa zamani, na yapi uongo yameongezwa...Yagashya alisema, haitakuwa mlima huu, ama Mlima ule, bali waumini Mungu watamwabudu katika roho na ukweli
Naendelea kujifunza zaidi na zaidi ,usiniache ktk haya mambo Mkuu
 
Nini Matokeo ya kumkomboa Mwafrika ktk Fikra alizo mazo kwa sasa ?.

Mizimu ni nini ?..
Ni ipi faida ya kuitumikia Mizimu ?
Mizimu itatu toaje hapa tulipo (Hali zetu)na kutupeleka mbele ?.

Hivi ni kweli Watu wa Afrika tunahitaji Mizimu kama ndio njia sahihi ya kufikia Mafanikio(Kwa Ujumla wake) kama Wazungu ?.

Hivi tunahitaji kuambiwa na Mizimu kuwa Mboga za Majani tunazo kula zime kuzwa na Sumu hivyo tukizitumia zita haribu Mfumo wa Miili yetu !!..Kweli ?
 
Mkuu bado hauja jibu nilicho uliza Mkuu ,upi ni Muunganiko yani kati ya Uelewa wa Mtu na Mzimu how !?.
I personally find that question irrelevant, ungeanza kwa kuwauliza wakiristo na waisilamu Hilo swali, ndipo uanze kuhoji kwanini mizimu yetu waliita mashetani.....wanaabudu midoli na mawe kisha wanaisumbua dunia nzima, mara lugha takatifu, mara kiarabu, mara kiyahudi........Nini bana!!!!! Nyie acheni kasumba, na usikule dini, anzeni kupenda na kuheshimu vya kwenu
Ni hayo tu
 
007-Intelligence-Quotes.jpg
img_0096.jpg
 
Mara ooh eti nchi takatifu, nchi takatifu gani wazimu?????? Hivi we kweli na akili zako unaweza kukiri fulani nchi takatifu???? Kwa maana hiyo, zingine ni nchi najisika na dhalimu??? We huoni huu ndio msingi wa ubaguzi?????
 
Back
Top Bottom