Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Kwani si kabadilika ngozi Tu,

Ila ujumbe si ndio uleule_au vyote.?
uzuri ma kuhani nyabingi, waliuhifadhi ukweli, kwenye, vinyago,namarembo, na sanamu zamawe, hata walipoandika uongo wao, sisi tumebaki na ushahidi, biblia qurani, talmudi, ni asili mia 5 to ya kweli yote
 
Fafanua maana ya ushahidi
Kama unaleta habari kinyume na wengi tunavyojua na kuamini maana yake umefanya tafiti na una findings ambazo zina evidence lakini nachokiona hapa na masimulizi tu yasiyoonyesha ushahidi ambayo hata vitabu mnavyovipinga (bible&quraan) vinaweza vikawa na details nzuri kuliko haya masimulizi mnayoleta.
 
ama unaleta habari kinyume na wengi tunavyojua na kuamini maana yake umefanya tafiti na una findings amba
Wengi mnavyo jua....hahahahaha...nyie wengi ndio nani? Wa kiriisto na waislamu??? Unataka kujifanya mtaaluma??? Masela,na makachala, na Wale wasiofika vyuo vikuu uwabague???? Utafiti gani??? Basi we tupe mpya, DNA ya yesu ilipatikana wapi???? Na zinjathropus alikuwa nani na kutoka wapi???e
kinyume na hoja zako, ushahidi tumejaza tele, tatizo taaluma pi a ni chombo cha utawala, ndio sababu msomi wewe na wenzio mmeshindwa kuwaambia waafrica, ukweli tatizo nini?????
 
mnavyovipinga (bible&quraan) vinaweza vikawa na details nzuri kuliko haya masimulizi mnayoleta
Bible na Qur'an, zina ukweli gani, hebu tujuze......kisha utuambie, biashara ya utumwa alikuaguzeni Allah ama Jehova mfanye??? Kisha transatlantic trade, na wizi wote mlioufanya, ulioikanyausha Africa, na kustawisha bar a Asia na Ulaya
 
Kwa hiyo umeshindwa kuweka shahidi zinazoenyesha ukweli wa madai mnayodai? Sijui kama vitabu vya biblia na quran kuna sehemu ambazo zimehararisha biashara ya utumwa au ukoloni.
Bado sioni mantiki ya point columbus alipowasili bara amerika aliweza kutabiri kupatwa kwa mwezi wale wahindi wekundu wakawa wanamuheshimu na kumpa vitu mbalimbali lkn lengo likiwa ni lingine hili halifanyi sayansi kuwa mbaya bali ubaya ni wale waliotumia hiko kitu kwa malengo mingine.
 
Wengi mnavyo jua....hahahahaha...nyie wengi ndio nani? Wa kiriisto na waislamu??? Unataka kujifanya mtaaluma??? Masela,na makachala, na Wale wasiofika vyuo vikuu uwabague???? Utafiti gani??? Basi we tupe mpya, DNA ya yesu ilipatikana wapi???? Na zinjathropus alikuwa nani na kutoka wapi???e
kinyume na hoja zako, ushahidi tumejaza tele, tatizo taaluma pi a ni chombo cha utawala, ndio sababu msomi wewe na wenzio mmeshindwa kuwaambia waafrica, ukweli tatizo nini?????
Unaweza kuweka ushahidi wa haya masimulizi yenu ili nibadalishe mtazamo na ingie kwenye "ukombozi" wa mtu mweusi?!
 
kupatwa kwa mwezi wale wahindi wekundu wakawa wanamuheshimu na kumpa vitu mbalimbali lkn lengo likiwa ni lingine hili halifanyi sayansi kuwa mbaya bali ubaya ni wale waliotumia hiko kitu kwa malengo mingine.
I see, naafiki, lakini so what, kulingana na yale tunayoyakabili, kama watu weusi duniani, what is your point? Hujajibu swali, unaposema ushahidi unamaanisha nini?
Kwa mfano ushahidi ya Kuwa huyu Hapa
th (73).jpeg

sio Michael Jackson????
 
Ndio hivyo, MJ alikufa 1984
Yule feki
acha basiiii"" madame waweza kunipatia proof ya hii kitu ".. maaana ni kama umeuvuruga ubongo wangu Hivi "" wataka kuniambia yule Jamaa aliyekuwa anafanya ma concert Bucharest " hakuwa yeye ""?? mmmhh"" hebu nipe fact zitakazo nifanya niweze kukusogelea kifikira
 
Back
Top Bottom