hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
nasubiria kwa hamu hilo ...nimekuwa nikiongea na Fatima " lakini naona kam vile anajisahau "" majukumu mengi ""Tutakupa maelekezo ufike hekaluni hearly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nasubiria kwa hamu hilo ...nimekuwa nikiongea na Fatima " lakini naona kam vile anajisahau "" majukumu mengi ""Tutakupa maelekezo ufike hekaluni hearly
lazima ujifunze na kujithibitisha kwanza, kisha utafanyiwa dua la utakaso, na kukaribishwa hekaluni, kama unania njema, tuna utaratibu kwa watu wa mikoaniSawa mkuu sema sisi wa mikoani ndo IPO shida apo
Mkuu unajua kusoma wewe? Ni wapi katika comment yangu nimesema MUNGU aliandika?????Imeandikwa na wayahudi, Mungu aliandika lini???? Ulimwona wakati alipoandika?
Ni hivyo lazima ujiulizeKuna MTU mmoja Humu "" alipost habari pictr " yenye maelezo yasemayo "" ....
wa romans " ndio waliomuua yesu " so inakuwaje " wa romans hao hao "" wanakueleza habari za kumuhusu yesu "" halafu unatenga muda wa kuwaamini ""...!?
Musa, hivi we Musa was kweli unamjua alikuwa Nani? Sulemani wa kweli unamjua alikuwa Nani? Wote, daudi na manabii....mmeiga kila kitu, watoto wa kaini nyinyi, sisi ndio abeli, weusiMkuu unajua kusoma wewe? Ni wapi katika comment yangu nimesema MUNGU aliandika?????
Lakini pia kama ni kuandika tu, hata BWANA MUNGU aliandika zile Amri Kumi kwenye mbao za mawe alizomkabidhi Musa.
Oklazima ujifunze na kujithibitisha kwanza, kisha utafanyiwa dua la utakaso, na kukaribishwa hekaluni, kama unania njema, tuna utaratibu kwa watu wa mikoani
Kwa maelekezo zaidi ni private mail
tuendelee kuzungumza pm, mambo mengine si ya hadharanasubiria kwa hamu hilo ...nimekuwa nikiongea na Fatima " lakini naona kam vile anajisahau "" majukumu mengi ""
wewe unauhakika " UPI kuwa hizo mbao ziliandikwa na Mungu "" kuna ambaye alimshuhudia " Musa akikabidhiwa hizo mbao na mungu "" kama hakuna " tukisema kuwa hicho ni kisa cha kutunga tutakuwa tunaongopa "".... kwanni mungu awape " mamlaka binaadamu "" wamtangazie dini yake " wakati yeye mwenyewe anakiri kuwa binaadamu hao ni wadhaifu "" ...neno dhaifu lina nyanja pana "" yaweza udhaifu wakutokuwa wakweli "" udhaifu wakutoelewa jambo wanapoambiwa au kufundishwa "" udhaifu wa afya bora " udhaifu wa kukosa upendo " na utu " etc ..... sasa aliwezaje kumpa mamlaka "" mwanadamu ya kumtangazia dini yake "" ilahli anajua fika miongoni mwao kuna wenye udhaifu wa sifa ya kutokuwa wakweli "" Hivi kweli alikuwa haoni kuwa kwa mantiki ya udhaifu huo "" kuna hatari ya maneno yake kufikishwa ndivyo sivyo kwa vizazi na vizazi " "tokana na sifa anayoielezea kuwa binaadamu ni wadhaifu ""...Mkuu unajua kusoma wewe? Ni wapi katika comment yangu nimesema MUNGU aliandika?????
Lakini pia kama ni kuandika tu, hata BWANA MUNGU aliandika zile Amri Kumi kwenye mbao za mawe alizomkabidhi Musa.
Hapana, msamehe, anamambo mengi yule mwache, tena Yuko mbali, sasa yuko Marekani,nasubiri sana hilo "" nimekuwa na ongea na Fatima "" lakini naona kama vile anajisahau ""..
Hawana ishu, wamekopi kila kitu.....hao wayahudi ndio kizazi Cha mashetaniwewe unauhakika " UPI kuwa hizo mbao ziliandikwa na Mungu "" kuna ambaye alimshuhudia " Musa akikabidhiwa hizo mbao na mungu "" kama hakuna " tukisema kuwa hicho ni kisa cha kutunga tutakuwa tunaongopa "".... kwanni mungu awape " mamlaka binaadamu "" wamtangazie dini yake " wakati yeye mwenyewe anakiri kuwa binaadamu hao ni wadhaifu "" ...neno dhaifu lina nyanja pana "" yaweza udhaifu wakutokuwa wakweli "" udhaifu wakutoelewa jambo wanapoambiwa au kufundishwa "" udhaifu wa afya bora " udhaifu wa kukosa upendo " na utu " etc ..... sasa aliwezaje kumpa mamlaka "" mwanadamu ya kumtangazia dini yake "" ilahli anajua fika miongoni mwao kuna wenye udhaifu wa sifa ya kutokuwa wakweli "" Hivi kweli alikuwa haoni kuwa kwa mantiki ya udhaifu huo "" kuna hatari ya maneno yake kufikishwa ndivyo sivyo kwa vizazi na vizazi " "tokana na sifa anayoielezea kuwa binaadamu ni wadhaifu ""...
okay ...nimemsamehe "" yameishaHapana, msamehe, anamambo mengi yule mwache, tena Yuko mbali, sasa yuko Marekani,
Hapana, msamehe, anamambo mengi yule mwache, tena Yuko mbali, sasa yuko Marekani,
Yaaani "" nimtihani mnoooo""....Hawana ishu, wamekopi kila kitu.....hao wayahudi ndio kizazi Cha mashetani
Kumbe unajua kuna mtu anaitwa YESU KRISTO?? Sishangai hilo jina unalomwita sababu anamajina mengi tu, JESUS, YESU, JEZUS, GESU, יֵשׁוּעַ ,يسوع, 耶稣, Ιησούς, EASHOA n.k.Pepo maana yake ni Roho, Yagashya(Yesu) hakuacha ukiristo, mliutengeneza wenyewe, aliacha Imani, na mambo mengi aliyosema hayakuandikwa yote, ukiristo ni politics za utawala, nyinyi mnaabudu, pepo jeupe tengenezo la wanadamu, na Yagashya aliyaona yote haya na kukemea, aliwajua wayahudi ni kizazi Cha ibilisi, kweli tunayo sisi, pole sana ndugu
Unapoingia kwenye ulimwengu wa roho, hali ya mwafirika ni uchawi wa hali ya juu' kabisa, ni makufuli kabisa yametundikwa vichwani, huvunji ni laana kubwa, ni lazima ukutane na waalimu sahihi, makuhani nyabinghi, wakufanyie DUAT MAALUMU, NDIPO UTAFUNGULIWACha msingi APA ni kujua kwanza kuitumia akili kwanza na haya mengine yatafata kama wachina walivyo base kwenye meditation na Dini zao ndo maana. Wamefika mbali wakati tulikuwa nao sawa
Na Mimi piamnihesabu "" kuwa mimi " ni mwenzenu " tena mfanye " haraka" mnooo" mniunganishe huko mlipo ""...
Kwa mujibu wa maandiko wewe unayoamini Watu wote ni wana Mungu sasa kipi spesho hapo Yesu mpka umwite yeye pekee ndio mwana wa Mungu-Imeandikwa kwenye kitabu kilichobeba NENO la MUNGU, na aliyeandika alikuwa Nabii wa kweli wa MUNGU.
-Shetani ni mtu yeyeto yule anayekiri kwa kinywa chake kuwa YESU KRSTO siyo MWANA WA MUNGU, yeyote anayesema hivyo ni Shetani na baba yake ni Shetani.
Kuhusu kuhukumu mimi sijahukumu, labda huelewi maana ya neno "hukumu". Mimi ni nani hata nitoe hukumu kwa Shetani? Nilichokifanya mimi ni ku-quote tu maandiko ya kwenye kitabu kitakatifu cha BWANA MUNGU wangu ambacho ni Biblia. Hukumu itatolewa na BWANA YESU KRISTO ile siku atakapokuja tena kwa mara nyingine.
Na Mimi MSI nisahauTutakupa maelekezo ufike hekaluni hearly