geesten66
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 2,042
- 2,370
Ata uislam ulianza kwa siri kipindi hicho omary alikuwa mbabe kabla aja slim.Vikao vya siri Hata dini za kikoloni haziungi mkono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata uislam ulianza kwa siri kipindi hicho omary alikuwa mbabe kabla aja slim.Vikao vya siri Hata dini za kikoloni haziungi mkono
Kwahiyo.Ndugu haya si masihara, Wala mambo ya mchezo, tumefanya maombi Kuna wakati pepo wachafu wamewatoka watu Kama vivuli vyeusi, kama mapopo na panya
Kwani MUNGU hayupo? Njia alizotumia kuumba Ulimwengu na vyote vilivyomo mbona zimeandikwa kwenye Vitabu? Mbona kuna watu wamewahi kuisikia sauti ya MUNGU akiongea? Au kwa vile wewe hujaisikia sauti yake ndiyo maana unasema hayupo?sasa" mbona hai make " sense "" bill gate " yupo " na njia " alizozitumia kuanzisha hiyo software " ipo ""...,,! yaani ukifanya mahojiano leo " na bill " atakueleza kinaga ubaga " jinsi ambavyo alivyoweza kuanzisha hiyo Microsoft"".. "' pia " hata nakala za njia alizotumia kama Mawazo kuweza kufikia hilo zipo "" yaweza kuwa amezihifadhi kwenye diary yake " katika maktaba zake "" na hata pindi atakapkuwa mfu " atakiwa ameiachia dunia urithi wa uthibisho kuhusu hiyo Nazi yake adhimu ""... mkuu umesahau kwamba "" bila peni na karatasi Mali huisha bila habari "...""
Omary ndio nani..!?Ata uislam ulianza kwa siri kipindi hicho omary alikuwa mbabe kabla aja slim.
Huyo kiranga mkuu si ndo kabisa,haamini loloteKwani MUNGU hayupo? Njia alizotumia kuumba Ulimwengu na vyote vilivyomo mbona zimeandikwa kwenye Vitabu? Mbona kuna watu wamewahi kuisikia sauti ya MUNGU akiongea? Au kwa vile wewe hujaisikia sauti yake ndiyo maana unasema hayupo?
Hao wanasayansi wanasema eti kiumbe hai wa kwanza alitokana na "cell" ambayo ilitokea baada ya kitu wanaita Big-Bang kutokea. Sasa hebu nikuulize, hivi hiyo cell moja inawezaje kujibadilisha ikawa mwanadamu na mwili wake ukiwa na viungo tofauti tofauti, cell hiyo hiyo ijibadilishe iwe samaki, ng'ombe, simba, mjusi, kipepeo, nyani, nyoka, nzi, mbu, paka, bakteria, virus, miti, mimea n.k.???
Hivi kweli haikuingii akilini kwamba hivi viumbe vyote kila kimoja kwa jinsi yake viliumbwa kama vilivyo kwa ustadi mkubwa sana na yule mwenye nguvu na uwezo wa ajabu ambaye ni BWANA MUNGU?
Wanasayansi hao hao wanatudanganya eti mwanadamu ametokea kwenye evolution, hebu nikuulize swali, tangu mwanadamu apate maarifa ni takriban miaka 2000 sasa imepita, je ni nani amebadilika kwa kipindi hicho cha miaka 2000 iliyopita? Mwanadamu anaishi kwa miaka 70, akizidi sana labda miaka 120, sasa hebu tuambie ni mzee yupi wa miaka 120 amebadilika kwa kuota hata mapembe tu sababu evolution ni mabadiliko yanayotokea kidogo kidogo, je nani amebadilika?
Kama kweli hakuna MUNGU, na wanadamu pamoja na viumbe wengine tumetokea baada ya evolution basi mpaka leo hii tungekuwa tunashuhudia hiyo evolution ikifanya kazi yake, wanadamu tungeanza kubadilika labda hata tungekuwa na mabawa turuke kama ndege baada ya kutembea ardhini kwa miaka yote hiyo.
Tusidanganyane mkuu, MUNGU yupo na kila kiumbe alikiumba au kukitengeneza kwa jinsi yake na namna yake tofauti, kila kiumbe alikitengeneza kwa ufundi tofauti.
Cc Kiranga
hatupingi kuwepo kwa Mungu, ila tunawasiwasi na ngano za wayahudi kumuhusuKwani MUNGU hayupo? Njia alizotumia kuumba Ulimwengu na vyote vilivyomo mbona zimeandikwa kwenye Vitabu? Mbona kuna watu wamewahi kuisikia sauti ya MUNGU akiongea? Au kwa vile wewe hujaisikia sauti yake ndiyo maana unasema hayupo?
Hao wanasayansi wanasema eti kiumbe hai wa kwanza alitokana na "cell" ambayo ilitokea baada ya kitu wanaita Big-Bang kutokea. Sasa hebu nikuulize, hivi hiyo cell moja inawezaje kujibadilisha ikawa mwanadamu na mwili wake ukiwa na viungo tofauti tofauti, cell hiyo hiyo ijibadilishe iwe samaki, ng'ombe, simba, mjusi, kipepeo, nyani, nyoka, nzi, mbu, paka, bakteria, virus, miti, mimea n.k.???
Hivi kweli haikuingii akilini kwamba hivi viumbe vyote kila kimoja kwa jinsi yake viliumbwa kama vilivyo kwa ustadi mkubwa sana na yule mwenye nguvu na uwezo wa ajabu ambaye ni BWANA MUNGU?
Wanasayansi hao hao wanatudanganya eti mwanadamu ametokea kwenye evolution, hebu nikuulize swali, tangu mwanadamu apate maarifa ni takriban miaka 2000 sasa imepita, je ni nani amebadilika kwa kipindi hicho cha miaka 2000 iliyopita? Mwanadamu anaishi kwa miaka 70, akizidi sana labda miaka 120, sasa hebu tuambie ni mzee yupi wa miaka 120 amebadilika kwa kuota hata mapembe tu sababu evolution ni mabadiliko yanayotokea kidogo kidogo, je nani amebadilika?
Kama kweli hakuna MUNGU, na wanadamu pamoja na viumbe wengine tumetokea baada ya evolution basi mpaka leo hii tungekuwa tunashuhudia hiyo evolution ikifanya kazi yake, wanadamu tungeanza kubadilika labda hata tungekuwa na mabawa turuke kama ndege baada ya kutembea ardhini kwa miaka yote hiyo.
Tusidanganyane mkuu, MUNGU yupo na kila kiumbe alikiumba au kukitengeneza kwa jinsi yake na namna yake tofauti, kila kiumbe alikitengeneza kwa ufundi tofauti.
Cc Kiranga
hahaha ..."" mkuu nishushe tafafhali "" umeshaanza kuhubiri ""... ngoja tuendelee kujadili mada iliyopo mezani "" tusimharibie "" Fatima Uzi wake ""...!Kwani MUNGU hayupo? Njia alizotumia kuumba Ulimwengu na vyote vilivyomo mbona zimeandikwa kwenye Vitabu? Mbona kuna watu wamewahi kuisikia sauti ya MUNGU akiongea? Au kwa vile wewe hujaisikia sauti yake ndiyo maana unasema hayupo?
Hao wanasayansi wanasema eti kiumbe hai wa kwanza alitokana na "cell" ambayo ilitokea baada ya kitu wanaita Big-Bang kutokea. Sasa hebu nikuulize, hivi hiyo cell moja inawezaje kujibadilisha ikawa mwanadamu na mwili wake ukiwa na viungo tofauti tofauti, cell hiyo hiyo ijibadilishe iwe samaki, ng'ombe, simba, mjusi, kipepeo, nyani, nyoka, nzi, mbu, paka, bakteria, virus, miti, mimea n.k.???
Hivi kweli haikuingii akilini kwamba hivi viumbe vyote kila kimoja kwa jinsi yake viliumbwa kama vilivyo kwa ustadi mkubwa sana na yule mwenye nguvu na uwezo wa ajabu ambaye ni BWANA MUNGU?
Wanasayansi hao hao wanatudanganya eti mwanadamu ametokea kwenye evolution, hebu nikuulize swali, tangu mwanadamu apate maarifa ni takriban miaka 2000 sasa imepita, je ni nani amebadilika kwa kipindi hicho cha miaka 2000 iliyopita? Mwanadamu anaishi kwa miaka 70, akizidi sana labda miaka 120, sasa hebu tuambie ni mzee yupi wa miaka 120 amebadilika kwa kuota hata mapembe tu sababu evolution ni mabadiliko yanayotokea kidogo kidogo, je nani amebadilika?
Kama kweli hakuna MUNGU, na wanadamu pamoja na viumbe wengine tumetokea baada ya evolution basi mpaka leo hii tungekuwa tunashuhudia hiyo evolution ikifanya kazi yake, wanadamu tungeanza kubadilika labda hata tungekuwa na mabawa turuke kama ndege baada ya kutembea ardhini kwa miaka yote hiyo.
Tusidanganyane mkuu, MUNGU yupo na kila kiumbe alikiumba au kukitengeneza kwa jinsi yake na namna yake tofauti, kila kiumbe alikitengeneza kwa ufundi tofauti.
Cc Kiranga
Am in mkuu,naomba unihesabie niweze kujifunza zaidi,ila I believe in CHRIST.Karibu sana tutapeana taratibu, Mimi ndio nashughulikia kanda ya Africa mashariki, na Sasa Niko Africa kusini
Hujathibitisha Mungu yupo.Kwani MUNGU hayupo? Njia alizotumia kuumba Ulimwengu na vyote vilivyomo mbona zimeandikwa kwenye Vitabu? Mbona kuna watu wamewahi kuisikia sauti ya MUNGU akiongea? Au kwa vile wewe hujaisikia sauti yake ndiyo maana unasema hayupo?
Hao wanasayansi wanasema eti kiumbe hai wa kwanza alitokana na "cell" ambayo ilitokea baada ya kitu wanaita Big-Bang kutokea. Sasa hebu nikuulize, hivi hiyo cell moja inawezaje kujibadilisha ikawa mwanadamu na mwili wake ukiwa na viungo tofauti tofauti, cell hiyo hiyo ijibadilishe iwe samaki, ng'ombe, simba, mjusi, kipepeo, nyani, nyoka, nzi, mbu, paka, bakteria, virus, miti, mimea n.k.???
Hivi kweli haikuingii akilini kwamba hivi viumbe vyote kila kimoja kwa jinsi yake viliumbwa kama vilivyo kwa ustadi mkubwa sana na yule mwenye nguvu na uwezo wa ajabu ambaye ni BWANA MUNGU?
Wanasayansi hao hao wanatudanganya eti mwanadamu ametokea kwenye evolution, hebu nikuulize swali, tangu mwanadamu apate maarifa ni takriban miaka 2000 sasa imepita, je ni nani amebadilika kwa kipindi hicho cha miaka 2000 iliyopita? Mwanadamu anaishi kwa miaka 70, akizidi sana labda miaka 120, sasa hebu tuambie ni mzee yupi wa miaka 120 amebadilika kwa kuota hata mapembe tu sababu evolution ni mabadiliko yanayotokea kidogo kidogo, je nani amebadilika?
Kama kweli hakuna MUNGU, na wanadamu pamoja na viumbe wengine tumetokea baada ya evolution basi mpaka leo hii tungekuwa tunashuhudia hiyo evolution ikifanya kazi yake, wanadamu tungeanza kubadilika labda hata tungekuwa na mabawa turuke kama ndege baada ya kutembea ardhini kwa miaka yote hiyo.
Tusidanganyane mkuu, MUNGU yupo na kila kiumbe alikiumba au kukitengeneza kwa jinsi yake na namna yake tofauti, kila kiumbe alikitengeneza kwa ufundi tofauti.
Cc Kiranga
Polepole tu, tutajaribu, lakini majibu yote yako moyoni mwako, na kazi yetu, ni kuvunja makufuli ya kichwa, uamke ujitambueNina maswali mengi,so mtafungulia uzi wa mambo yote??
Tatizo ukiwaambia wathibitishe Mungu yupo, wanahubiri .hahaha ..."" mkuu nishushe tafafhali "" umeshaanza kuhubiri ""... ngoja tuendelee kujadili mada iliyopo mezani "" tusimharibie "" Fatima Uzi wake ""...!
Kiranga.. na Dini wapi na wapi hahahaKwani MUNGU hayupo? Njia alizotumia kuumba Ulimwengu na vyote vilivyomo mbona zimeandikwa kwenye Vitabu? Mbona kuna watu wamewahi kuisikia sauti ya MUNGU akiongea? Au kwa vile wewe hujaisikia sauti yake ndiyo maana unasema hayupo?
Hao wanasayansi wanasema eti kiumbe hai wa kwanza alitokana na "cell" ambayo ilitokea baada ya kitu wanaita Big-Bang kutokea. Sasa hebu nikuulize, hivi hiyo cell moja inawezaje kujibadilisha ikawa mwanadamu na mwili wake ukiwa na viungo tofauti tofauti, cell hiyo hiyo ijibadilishe iwe samaki, ng'ombe, simba, mjusi, kipepeo, nyani, nyoka, nzi, mbu, paka, bakteria, virus, miti, mimea n.k.???
Hivi kweli haikuingii akilini kwamba hivi viumbe vyote kila kimoja kwa jinsi yake viliumbwa kama vilivyo kwa ustadi mkubwa sana na yule mwenye nguvu na uwezo wa ajabu ambaye ni BWANA MUNGU?
Wanasayansi hao hao wanatudanganya eti mwanadamu ametokea kwenye evolution, hebu nikuulize swali, tangu mwanadamu apate maarifa ni takriban miaka 2000 sasa imepita, je ni nani amebadilika kwa kipindi hicho cha miaka 2000 iliyopita? Mwanadamu anaishi kwa miaka 70, akizidi sana labda miaka 120, sasa hebu tuambie ni mzee yupi wa miaka 120 amebadilika kwa kuota hata mapembe tu sababu evolution ni mabadiliko yanayotokea kidogo kidogo, je nani amebadilika?
Kama kweli hakuna MUNGU, na wanadamu pamoja na viumbe wengine tumetokea baada ya evolution basi mpaka leo hii tungekuwa tunashuhudia hiyo evolution ikifanya kazi yake, wanadamu tungeanza kubadilika labda hata tungekuwa na mabawa turuke kama ndege baada ya kutembea ardhini kwa miaka yote hiyo.
Tusidanganyane mkuu, MUNGU yupo na kila kiumbe alikiumba au kukitengeneza kwa jinsi yake na namna yake tofauti, kila kiumbe alikitengeneza kwa ufundi tofauti.
Cc Kiranga
Swahaba Wa mtume mudyOmary ndio nani..!?
Christ is a concept, ya zamani mno....concept ya The power, the source ndani yakoAm in mkuu,naomba unihesabie niweze kujifunza zaidi,ila I believe in CHRIST.
Ndo huko natamani ufunguke zaidi mkuuChrist is a concept, ya zamani mno....concept ya The power, the source ndani yako
Hamumuelewi Alwatan kiranga, yehe nimuelewavyo anaamini katika nguvu Za universe, ambazo sisi tunaita Mungu, the sourceKiranga.. na Dini wapi na wapi hahaha
pole poleNdo huko natamani ufunguke zaidi mkuu
Haya,ngoja niwe mpolepole pole