Tuangalie uhalisia wa kura alizopata Mama Samia

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98,
Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na kapata adilimia 31 ya kura zote,maana yake wanaompinga ni wengi zaidi kuliko wanaomkubali,ingawa ukweli wa Mambo wanaojua mwenyewe
 
Matokeo ya leo ni day light robbing
 
Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98,
Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na kapata adilimia 31 ya kura zote,maana yake wanaompinga ni wengi zaidi kuliko wanaomkubali,ingawa ukweli wa Mambo wanaojua mwenyewe
Hio ni shida ya ki-mfumo, kama tunataka mabadiliko tulitazama tatizo kwa upana wake. SSH ni mtu mmoja na atapita, hakuwa na mabuvu ya kufanya hayo yeye kama yeye, ukimbebesha zigo ni lake kesho utalia na mwingine kama itakupendeza kufanya hivyo.

Muhimu sana kwa maslahi ya taifa ni kutafuta suluhu ya kuendesha siasa za nchi, tupate mageuzi ktk hilo si kulia na mtu/watu
 
I Salute you mkuu kwa hii comment yako.
 
Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98,
Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na kapata adilimia 31 ya kura zote,maana yake wanaompinga ni wengi zaidi kuliko wanaomkubali,ingawa ukweli wa Mambo wanaojua mwenyewe

Hizo 10 million ji nyingi mno. Wapiga kura kama walizidi 2 million nitashangaa. Dar gakukuwa na uchaguxi kabisa.

Vituo bilivyochomwa moto na mabox yaliyosambaratidhwa mitaani zenyewe hazikuingizwa? Kama haxikuhesahiwa tayari ni haramu.
 
Huyu Mama hata kura mil 1 hajabahatika kuzipata na hilo siyo jambo la siri , hata yeye mwenyewe analijua ,kama anazijua gharama za kuendesha dola kwa mkono wa chuma anapaswa kujitafakari
 
Aisee kiuhalisia mama kapata kura chache kinoma tume imemfichia aibu!
Watz wamemkataa!
 
Back
Top Bottom