Matokeo ya leo ni day light robbingWao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98,
Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na kapata adilimia 31 ya kura zote,maana yake wanaompinga ni wengi zaidi kuliko wanaomkubali,ingawa ukweli wa Mambo wanaojua mwenyewe
Hio ni shida ya ki-mfumo, kama tunataka mabadiliko tulitazama tatizo kwa upana wake. SSH ni mtu mmoja na atapita, hakuwa na mabuvu ya kufanya hayo yeye kama yeye, ukimbebesha zigo ni lake kesho utalia na mwingine kama itakupendeza kufanya hivyo.Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98,
Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na kapata adilimia 31 ya kura zote,maana yake wanaompinga ni wengi zaidi kuliko wanaomkubali,ingawa ukweli wa Mambo wanaojua mwenyewe
I Salute you mkuu kwa hii comment yako.Hio ni shida ya ki-mfumo, kama tunataka mabadiliko tulitazama tatizo kwa upana wake. SSH ni mtu mmoja na atapita, hakuwa na mabuvu ya kufanya hayo yeye kama yeye, ukimbebesha zigo ni lake kesho utalia na mwingine kama itakupendeza kufanya hivyo.
Muhimu sana kwa maslahi ya taifa ni kutafuta suluhu ya kuendesha siasa za nchi, tupate mageuzi ktk hilo si kulia na mtu/watu
Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98,