- Thread starter
- #21
Mda mwingine umachi noo unaboa
Ni kawaida kwa walamba asali na chawa wao kuwa bored wakimulikwa.
Kaeni kwa kutulia tunazidi kuwajongelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda mwingine umachi noo unaboa
Kuyafahamu matatizo yetu yalipo ni mwanzo mwema wa kuyapatia ufumbuzi.Kwa hatua au hali tuliyoifikia kinapaswa kuwekeza nguvu kubwa kwa wale waliosoma na kuelimika kutumia hayo maarifa kwa ambao wako tayari kuyapokea
Maana hata tu utayari wa kuelimika hatuna kabisa , sijui itumike njia ipi Ili utayari tuwe nao sote
Of coarse nipo na wewe kwny swala la katiba mpya nchini na kufanya evolution ya nchi yetu...
Ila nje na shidahzo.. bado africa matatizo yetu yanafanana.. mfano kama wewe unaamin mtu kujua kiingereza na lugha za nje ndio maendeleo au ndio uspmi.. wakati kiuwalisia sio hcyo kbsa... Anza kubadilika kwamza wewe ki fikra
Kwangu sio tofauti kati ya msomi asiyeelimika na mburura ambaye hajaenda shule kabisa, hawa wote ni mizigo tu.Ni kweli kuwa ipo tofauti ya kusoma shule na kuelimika.
Hata hivyo idadi ya waliosoma bila kuelimika haiwezi kulinganishwa na wasiosoma ambao pia hawajaelimika.
Kuelimika ni suala muhimu katika kujikomboa kifikra.
Ni heri msomi asiyeelimika kuliko Mburura asiyeelimika. Na hapo ndipo tulipo sisi.
Kwangu sio tofauti kati ya msomi asiyeelimika na mburura ambaye hajaenda shule kabisa, hawa wote ni mizigo tu.