Tuangazie tofauti za kifikra na kimwamko Tanzania dhidi ya wengine

Kwa hatua au hali tuliyoifikia kinapaswa kuwekeza nguvu kubwa kwa wale waliosoma na kuelimika kutumia hayo maarifa kwa ambao wako tayari kuyapokea

Maana hata tu utayari wa kuelimika hatuna kabisa , sijui itumike njia ipi Ili utayari tuwe nao sote
Kuyafahamu matatizo yetu yalipo ni mwanzo mwema wa kuyapatia ufumbuzi.
 

Utakuwa hujanisoma tu.

Ni kweli kuwa wenzetu kama sisi wanaojifunzia ukubwani kama sisi wanamudu lugha hizo Hadi vijijini.

Zingatia Hilo limeletwa hapa kama dalili za mvua tu.

NInakazia:

"Kwa mfumo wetu huu wa elimu, kwa hakika bado tupo tupo sana."
 
Kwangu sio tofauti kati ya msomi asiyeelimika na mburura ambaye hajaenda shule kabisa, hawa wote ni mizigo tu.
 
Kwangu sio tofauti kati ya msomi asiyeelimika na mburura ambaye hajaenda shule kabisa, hawa wote ni mizigo tu.

Ninakubaliana nawe. Hata hivyo ni kweli kuwa:

"Proportion ya wasomi wasioelimika ni ndogo kuliko proportion ya wasioelimika baina ya mamburula.'

Takwimu kama hizi zinaweza kuwa za msaada kwenye safari ya ukombozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…