So sad ndio maana kumbe hata mwendo umebadilika😃🙌🏿Kuna uzi Taikon Mtibeli alishasema kwamba jamaa TAYARI.
Ila Genge la waFEE-LER-GEE wa Mafwele ni hatari sana ,wamemtatua Rinda kisha kumrekodi clips ,kwahiyo masharti aliyopewa kwamba akirudia kukosoa serikali wanaziachia ,inabidi tu ajifanye fyatu tu.
Nati washazilegeza ,center bolt imekatika.So sad ndio maana kumbe hata mwendo umebadilika😃🙌🏿
Hata kama ni pesa. Hii ni zaidi ya kujidhalilisha
View: https://vm.tiktok.com/ZSXgdE7Jw/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Naweza kukubaliana naweHuyu jamaa alichanganyikiwa pale alipoitukana biblia
Kapewa kazi ngumu Sana ya kukata viuno hadharani🥱
Hata kama ni pesa. Hii ni zaidi ya kujidhalilisha
View: https://vm.tiktok.com/ZSXgdE7Jw/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Huwezi kujua siku zile alipewa mashati gani na Mganga.
Ukichungulia kaburi unamwelewa ila ukichukulia mambo juu juu utashabgaa
Nati washazilegeza ,center bolt imekatika.
View: https://vm.tiktok.com/ZSXwdCJMr/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok