Tuanze na Wasanii maana asilimia kubwa yao wanapotosha Jamii na serikali inatoa macho

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Iko wapi maana ya Msanii kuwa ni kioo cha jamii, Wasanii wa kileo ndo basi tena tena hawa wabana pua ndo kabisa.

Ndo maana wabana pua sijaona hata mmoja ambaye anaweza kuingia hata kwenye siasa maana wakiingia kwa siasa muda wote ni kuzungumzia mapenzi.

Serikali mbali na kuweka wizara ya sanaa, tamaduni na michezo bado sijaona faida ya hiyo wizara... wasanii wanaofanya mambo mazuri wenye content hawapewi sapoti wanapewa waimba umalaya kila siku wasapoti ushoga kila siku.

Na Watanzania baadhi walivyo na akili mgando wapenda ngono wanainjoi sana.. Tanzania kila baya ndo linapewa promo mtu mwenye kitu kizuri hata aonekani.

Watanzania wengi wako na akili za kwendea ch......n basi. Tubadilike....
 
Naunga mkono hoja lakini navyowajua watanzania hoja kama hizi zina wachangiaji wachache sababu ya malezi duni kumhofu Mungu watu wanaongozwa na hisia na umethodist zaidi kuliko kufuata desturi kwa kisingizio kwenda na wakati.

Wasanii huangalia jamii imeegea wapi ,miaka ya 70,80 nchi/jamii ikiongozwa na desturi na maadili ,wasanii kuanzia nyimbo,maigizo na sanaa zote zilitunga maudhui za miongozo ya maisha ya desturi njema.

Miaka ya 90 na 2000 jamii ilipogubikwa tabia na itakadi za kimagharibi za kutojali desturi na maadili bali kujali kusaka,kumiliki pesa uishi utakavyo hasa anasa za ngono na anasa za kila aina ,wasanii hasa wa kizazi kipya Cha 90,2000 kama kawaida wanatunga tango kuiburudisha jamii wakilenga soko la kidunia lina husudu zaidi anasa za kila aina.

Ni kweli ni wajibu wa Serikali kupitia wizara ya Michezo,Utamaduni na sanaa kulinda jamii yake .
Wizara ya MUS inawajibu mkubwa wa kulinda jamii yake kuchuja maudhui ya tamaduni na sanaa zinazoingizwa nchini .

Nawapanga kongole Qatar waandaaji wa Kombe la Dunia 2022 .Waandaaji nchi ya Qatar walisimama kidete kulinda mila,desturi ,sanaa zao huku wakiruhu wageni wote waende Qatar kucheza na kuturahia mpira bila kujipongeza kwa pombe ,ushoga ,anasa .FIFA walikuwa wakali kuipinga Qatar lakini FIFA na nchi nzito nzito Duniani zilipojaribu kuwatisha Qatar waruhusu anasa pamoja na soka ,Qatar walisimama kidete na World Cup kwa mara ya Kwanza katika history yake kuchezwa bila ya fujo za pombe ,ushoga na magomvi ya kishabiki sababu za kilevi na kugombea wanawake.

Kilichowasidia Qatar mbali ya uchumi wao imara pia ,kuthamini tamaduni,mila ndesturi,imani zao nk

Kwa nchi yetu ambayo jamii kwa sehemu imemezwa na tabia za kimagharibi ,jitihada za Serikali kusihi Viongozi wa Dini kukarabati mimonyokonya maadili iongezwe na Serikalini itumie vyombo vyake kama BASATA ,Chuo Cha Sanaa Bagamoyo kuwapa semina wasanii wengi wao ni Vijana kumodernise na kuenzi tamaduni ,mila na desturi zetu ili kutokumezwa na tabia hasi Kutoka jamii za nje ,kwa kuwa wasanii wanalenga soko la kimataifa ,waendeleze ubunifu kama wa bongo fleva walipofanikiwa kuingiza kiswahili kwenye midundo kutoka technology ya music studio wa nje ya nchi .

Wizara ya MUS inafanya vyema inapokuwa karibu na wasanii kama mpaka happy juzi imewapatia mikopo ya kuwasaida ku boost shughuli zao hivyo kuwalea vyema inawezekana KUWAFANYA WASANII WETU WAWE VIOO WA JAMII KWELI WANAOKUBALIKA NA MAKUNDI YOTE HAPA NCHINI.

Nawatakia mwezi mtukufu wa Ramadhani na mfungo mwema.
 
Iko wapi maana ya Msanii kuwa ni kioo cha jamii, Wasanii wa kileo ndo basi tena tena hawa wabana pua ndo kabisa.

Ndo maana wabana pua sijaona hata mmoja ambaye anaweza kuingia hata kwenye siasa maana wakiingia kwa siasa muda wote ni kuzungumzia mapenzi.

Serikali mbali na kuweka wizara ya sanaa,tamaduni na michezo bado sijaona faida ya hiyo wizara... wasanii wanaofanya mambo mazuri wenye content hawapewi sapoti wanapewa waimba umalaya kila siku wasapoti ushoga kila siku.

Na Watanzania baadhi walivyo na akili mgando wapenda ngono wanainjoi sana.. Tanzania kila baya ndo linapewa promo mtu mwenye kitu kizuri hata aonekani.

.... Watanzania wengi wako na akili za kwendea ch......n basi. Tubadilike....
Ngono ni kosa?
 
Mamtoni wanaimba ngono, mpaka kutukana na wanapewa airtime wanatoboa Ile baya.
 
saleni huo Utamaduni wa ngono,utupu na nyimbo ,movie za hayo mambo ni Utamaduni wao hauwapi shida ,sasa Vijana kukuta mamtoni hizo vibe mnataka kulazimisha na huku walikozaliwa wazaa babu wa babu babu na baba na Mama zako ambako karne kuna Utamaduni na mila tofauti na hizo za muziki ya ngono na utupu ,kifupi mila za Africa hazitaki hizo tamaduni usishangae kwa nini Diaspora wa Tanzania JMT inawakatalia uraia pacha sababu za hizo ya you know I mean too much ,kumbe mmedesa mambo hayo ya mamtoni ,hamuwaoni wahindi wengi wao wako huko mamtoni kabla ya waafrica wengi miaka ya hivi karibuni ku migrate huko mamtoni mbona wahindi wapo huko kuchuma faranga tu wahachumi hizo ngono zembe na utupu na nyimbo zao , angali India na China wanavuna nini Kutoka mamtoni then angali waafrica wanachovuna ,wasanii kama Wakubwa wa Africa hata akina Mondi na Ally Kiba walishtuka siku nyingi nao wanaenda kuchuma na kuja kuwekeza to their mother land hizo tabia za mamtoni ukweli wanajitahidi kuzikwepa inachotakiwa ni Serikali kuwasaidia kutokumezwa na huo umamtoni wakaja kuharibu kizazi cha Vijana wa Sasa wanaomiminika kama mvua kuvamia sekta ya usanii wa miziki,maigizo na sanaa nk
 
Naunga mkono hoja lakini navyowajua watanzania hoja kama hizi zina wachangiaji wachache sababu ya malezi duni kumhofu Mungu watu wanaongozwa na hisia na umethodist zaidi kuliko kufuata desturi kwa kisingizio kwenda na wakati.

Wasanii huangalia jamii imeegea wapi ,miaka ya 70,80 nchi/jamii ikiongozwa na desturi na maadili ,wasanii kuanzia nyimbo,maigizo na sanaa zote zilitunga maudhui za miongozo ya maisha ya desturi njema.

Miaka ya 90 na 2000 jamii ilipogubikwa tabia na itakadi za kimagharibi za kutojali desturi na maadili bali kujali kusaka,kumiliki pesa uishi utakavyo hasa anasa za ngono na anasa za kila aina ,wasanii hasa wa kizazi kipya Cha 90,2000 kama kawaida wanatunga tango kuiburudisha jamii wakilenga soko la kidunia lina husudu zaidi anasa za kila aina.

Ni kweli ni wajibu wa Serikali kupitia wizara ya Michezo,Utamaduni na sanaa kulinda jamii yake .
Wizara ya MUS inawajibu mkubwa wa kulinda jamii yake kuchuja maudhui ya tamaduni na sanaa zinazoingizwa nchini .

Nawapanga kongole Qatar waandaaji wa Kombe la Dunia 2022 .Waandaaji nchi ya Qatar walisimama kidete kulinda mila,desturi ,sanaa zao huku wakiruhu wageni wote waende Qatar kucheza na kuturahia mpira bila kujipongeza kwa pombe ,ushoga ,anasa .FIFA walikuwa wakali kuipinga Qatar lakini FIFA na nchi nzito nzito Duniani zilipojaribu kuwatisha Qatar waruhusu anasa pamoja na soka ,Qatar walisimama kidete na World Cup kwa mara ya Kwanza katika history yake kuchezwa bila ya fujo za pombe ,ushoga na magomvi ya kishabiki sababu za kilevi na kugombea wanawake.

Kilichowasidia Qatar mbali ya uchumi wao imara pia ,kuthamini tamaduni,mila ndesturi,imani zao nk

Kwa nchi yetu ambayo jamii kwa sehemu imemezwa na tabia za kimagharibi ,jitihada za Serikali kusihi Viongozi wa Dini kukarabati mimonyokonya maadili iongezwe na Serikalini itumie vyombo vyake kama BASATA ,Chuo Cha Sanaa Bagamoyo kuwapa semina wasanii wengi wao ni Vijana kumodernise na kuenzi tamaduni ,mila na desturi zetu ili kutokumezwa na tabia hasi Kutoka jamii za nje ,kwa kuwa wasanii wanalenga soko la kimataifa ,waendeleze ubunifu kama wa bongo fleva walipofanikiwa kuingiza kiswahili kwenye midundo kutoka technology ya music studio wa nje ya nchi .

Wizara ya MUS inafanya vyema inapokuwa karibu na wasanii kama mpaka happy juzi imewapatia mikopo ya kuwasaida ku boost shughuli zao hivyo kuwalea vyema inawezekana KUWAFANYA WASANII WETU WAWE VIOO WA JAMII KWELI WANAOKUBALIKA NA MAKUNDI YOTE HAPA NCHINI.

Nawatakia mwezi mtukufu wa Ramadhani na mfungo mwema.
Amen
 
Back
Top Bottom