Tubadili majina ya Daraja la Mfugale na Kijazi

Tubadili majina ya Daraja la Mfugale na Kijazi

Umenikumbusha mbaaali sana. kule kwetu tuna kamsemo "you can't have your cake and eat it". sio sahihi kuweka hayo MAJINA na hasa kwa sababu hao jamaa walikuwa watumiaji wa umma wanaotekeleza majukumu yao kwa malipo!
 
Subir tutayafanyia marekebisho kidogo tu alafu tubadilishe majina
 
Kwann usisubili CDM iingie madarakani,ili wajenge chochote na ww utoe majina.Mavi ya asubuhi ww.
 
Huyu jamaa n nonsense kabsa ko uktaka tuweke Jina la baba yako hapo
Hao watu nao (Kijazi+Mfugale) wanamichango Yao katika ujenz wa taifa

Ila Kama umekeleka lete jna la baba yako au babu yako tuliweke
 
Daraja la Mfugale lingeitwa Daraja la Mashekhe wa Uamsho au hata Maria Sarungi Tsehai Bridge
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wewe jina lako unaitwa Mr. Stonexnet sijui ulipewa kumuenzi nani, lakini bila shaka uneoa. Utajisikiaje utakapokufa mke wako abadili jina ajiite Mrs Magu? Hii ni najisi, sawa na tundulissu alivyonajisi wimbo wa taifa akidai wimbo haumo kwenye katiba. Badilikeni haraka makamanda, mawazo yenu bado mgando mmesahau kabisa jinsi mlivyofutwa kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom