Tubadili majina ya Daraja la Mfugale na Kijazi

Wewe Ileje Yan Kwanj nyeree alkuwa halipwi
Nyerere ana historia kubwa katika nchi hii na Africa kwa ujumla. Pia ana mchango mkubwa katika kupigania uhuru na haki duniani kote, hivyo ni halali kumuenzi. Ukisikia jina Nyerere linakukumbusha mengi sana lakini jina Mfugale inabidi kutafuta mchango wake kwa tochi!
 
Kwa kweli yabadilishwe tu majina. Tuna mashujaa wengi tu wa nchi, ingekuwa busara tuwaenzi hao kuliko hawa marafiki wa bwana fulani.
 
Naunga mkono hoja, kuna majina mengi tu ya Watanzania wanaopigania HAKI za Binadamu Tundu Lissu, Sheikh Ponda,Askofu Mwamakula,Mashekhe wa Uamsho ni Watanzania waliojitolea sana na Huu ni wakati muafaka kuwaenzi.
Hao wote ni waongeaji na sio watendaji mkuu
 
Taja Unataka Yaitweje?

Jiwe Ama Chuma. 😅😂😁😀
 
Tuheshimu mamlaka yaliyokuwepo na kutoa majina hayo kwa lengo la kutambua mchango wa watu hao katika ujenzi wa nchi.

Bado tunaendelea kujenga miundombinu mbalimbali kuna siku tutaishiwa majina na tutaita baadhi ya barabara Sarpong High Way (Relax)
Alitumia madaraka vibaya
 
Umenikumbusha mbaaali sana. kule kwetu tuna kamsemo "you can't have your cake and eat it". sio sahihi kuweka hayo MAJINA na hasa kwa sababu hao jamaa walikuwa watumiaji wa umma wanaotekeleza majukumu yao kwa malipo!
Ikibidi hata wenyewe waombe yatolewe tu. Mfugale anaomba mwenyewe na Kijazi familia yake iwajibike
 
Kwani hayo majina sio ya raia wa nchi hii..?

Mbona tunafuga ujinga kichwani hv.
 
Karibu majina ya mitaa au viwanja vya ndege huwa yanatolewa na watu waliopo kuwaenzi watu fulani kwa michango yao. Mfano uwanja wa Benjamin Mkapa ulipata jina baada yya Rais wa awamu ya pili kufariki mwaka jana. Ila ndiye aliyeazimia kuujenga.

Aidha hata uwanja wa JK Nyerere International Airport ulipata jina hilo miaka kadhaa baada ya Nyerere kufariki mwaka 1999. Yeye ni Baba wa Taifa ingawa wakati wa uhai wake alikataa sana kutukuzwa kwa namna hiyo.

Namna ambavyo Eng Mfugale na Eng Kijazi wamepewa kumbukumbu ya majina yao kwenye daraja la Tazara na la Ubungo kwa kweli hairidhishi. Mimi natambua wao walikuwa wafanyakazi wa Serikali waliokuwa na majukumu ya ku-design na kumsimamia ujenzi. At end of the day walikuwa wanalipwa mshahara kwa kazi yao.

Ila yule Rais Marehemu alikuwa anajiamulia tu kutoa majina kwa washirika wake.

Mbona kuna Mashujaa wengi tu ambao wangepewa heshima hiyo. Nashauri kwa sasa tuyaite Tazara Overhead bridge na Ubungo interchange tu.
Hata stand ya mbezi ibadirishwe
uwanja wa Chato uitwe magufuli airport
 
Kiongozi KIT UKO haijawahi kutokea.
 
Kwa fikra kama izi kwa kweli makamanda hatuwezi kuwapa nchi hata kidogo, Mpo mpo tu
 
Karibu majina ya mitaa au viwanja vya ndege huwa yanatolewa na watu waliopo kuwaenzi watu fulani kwa michango yao. Mfano uwanja wa Benjamin Mkapa ulipata jina baada yya Rais wa awamu ya pili kufariki mwaka jana. Ila ndiye aliyeazimia kuujenga.

Aidha hata uwanja wa JK Nyerere International Airport ulipata jina hilo miaka kadhaa baada ya Nyerere kufariki mwaka 1999. Yeye ni Baba wa Taifa ingawa wakati wa uhai wake alikataa sana kutukuzwa kwa namna hiyo.

Namna ambavyo Eng Mfugale na Eng Kijazi wamepewa kumbukumbu ya majina yao kwenye daraja la Tazara na la Ubungo kwa kweli hairidhishi. Mimi natambua wao walikuwa wafanyakazi wa Serikali waliokuwa na majukumu ya ku-design na kumsimamia ujenzi. At end of the day walikuwa wanalipwa mshahara kwa kazi yao.

Ila yule Rais Marehemu alikuwa anajiamulia tu kutoa majina kwa washirika wake.

Mbona kuna Mashujaa wengi tu ambao wangepewa heshima hiyo. Nashauri kwa sasa tuyaite Tazara Overhead bridge na Ubungo interchange tu.
Hiyo inakusaidiaje katika kuboresha maisha yako na kuongeza uwezo wa kulipia bando jipya?
 
Back
Top Bottom