polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Alikuwa na mambo ya kishamba na ulimbuken mkubwa sana hao jamaa zake hawakuwa na hadhi yeyote ya kuwekwa majina yao huko.Mbona hili JPM aliishalimaliza hilo? Alisema kwamba, yeye ameyaita hivyo kwa mamlaka aliyokuwa nayo. Ikitokea Rais mwingine akaja na akaamua kuyabadilisha, sawa. Kwahiyo, wewe endeleza ushawishi, JPM aliishamaliza mwendo wake!