Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Tuweke ya Tundu Lisu na Lema!
Acha mzaha kwenye mjadala muhimu kitaifa. Thibitisha. Lissu na Lema wamefanya nini chenye umuhimu wa kukumbukwa kihistoria hata majina yao yasimikwe kwenye landmarks za taifa?
Halafu bwashee tuache ushamba. Lile daraja pale TAZARA junction nalo ni landmark ya taifa la Tanzania?