Tubadili majina ya Daraja la Mfugale na Kijazi

Wewe ni nani sasa mpaka ubadili alichopanga mpendwa wetu Magufuli.. kwanini hukusema akiwa hai kama wewe kweli upo straight[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi ni Mtanzania mtoa maoni, nisingeweza kutoa akiwa hai kwa vile Mwendazake alikuwa anaua ukimkosoa
 
Sheria alizosaini Magufuli akiwa madarakani zitabadilishwa tu. Zile Sheria zote za Cyber, Takwimu, Huduma za habari, vyama vya Siasa, madini nk alizosaiini zilikuwa ndiyo vitendea kazi vya DIKTETA.

Marcus Tullius Cicero aliwahi kusema kuwa: "The closer the collapse of the Empire the crazier its laws"​

Katengeneza Sheria za KIJINGA na kweli ka-collapse tarehe 17/ 03/ 2021
 
Mbumbumbu, sheria ya cyber ni ya 2015 kabla ya mchakato wa kampeni.
 
Mbumbumbu, sheria ya cyber ni ya 2015 kabla ya mchakato wa kampeni.
Siko mbumbumbu wa sheria ninajuwa ninachoandika. Najuwa kuwa sheria ya cyber ni ya 2015 lakini nayo imetumika kumuimarisha DIKTETA
 
 
Majina mengi yametoka baada ya wenyewe kufariki. Mengine yamekuwa yanatolewa na Mamlaka za Miji na Majiji lakini siyo hawa washirika wa Rushwa watatu toka Wizara ya Ujenzi/ TANROADS miaka 20 iliyopita. Wanapeana majina wenyewe kwa wenyewe
Vipi Kikwete hakupewa majina ya maeneo/barabara/majengo akiwa madarakani? Ben hakupewa majina ya madaraja/barabara akiwa madarakani?
 
Nimeshatoa maelezo kuhusu Cybercrime Act ya 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…