Aweke details za kutosha walio interested waone kama anunuliwe ist used au run x apewe akaendeshe.
Weka picha ya nyumba tuione boss magari yamejaa huko online au ni lazima nikupe la kwangu ninalotumia?una gari?? au unamuongelea mwene gari?
Kama unagari niambie unataka nn kuona na una gari ya aina gani
Kijana anapambana na mm boss wake !!Lipo jukwaa mahususi la malalamiko.
Any way Senior member na expert member wote hawalipwi.
tena gari anayoendesha demu safi inakua kama in good conditionYes tunaweza kumtafutia hata passo used 🤣
😂😂😂Hapana nishagahili.labda unanipa hako na pia nakuoa bila mahali hapo sawa
Hahaha, Brevis nasikia zimejaa zinauzwa. Aweke picha ya nyumba tu ionekane.Yes tunaweza kumtafutia hata passo used 🤣
sasa la online la nn?Weka picha ya nyumba tuione boss magari yamejaa huko online au ni lazima nikupe la kwangu ninalotumia?
Sasa ndio uweke maelezo ya kutosha kuhusu hiyo nyumbatena gari anayoendesha demu safi inakua kama in good condition
Na haya mafuriko? Utajua thamani ya Baba mwenye gari hahahahahHakuna baba mwenye gari, kuna baba mwenye nyumba
sawaSasa ndio uweke maelezo ya kutosha kuhusu hiyo nyumba
Kiwanja kina ukubwa gani nk
Hutaki gari wewe. Ukiwa serious weka nyumba hiyo ionekane, maana nyumba ya M12 inawezekana ni kiwanja tu ndo kina thamani, gari useme unataka aina gani lenye hiyo thamani ya M8, nitakapolitoa najua mwenyewe.sasa la online la nn?
Kwani mi nakupa nyumba ya online?
Nikupe hiyo milion 8 ununue gar?Iko Kishiri center kabisa !!
Papo strategic sana sema sina mtaji wa kupaendeleza
Yapo bondeniNa haya mafuriko? Utajua thamani ya Baba mwenye gari hahahahah
Mkuu, Kasema anataka gari siyo pesa. Kama ushaiona hiyo nyumba Magari yapo mtaani huko kibao mazima kabisa. Nenda hapa ofisi za microfinance kuna watu wameshindwa mikopo na dhamana ni magari.Nikupe hiyo milion 8 ununue gar?
hata pesa sawa tu maana hii butter trade ni ngumuMkuu, Kasema anataka gari siyo pesa.
Ndo rahisi zaidi. Weka details za nyumba mkuu tuone. Si upo Mwanza, naweza nisije mimi ila nikampa mtu hizo taarifa mkafanya biashara.hata pesa sawa tu maana hii butter trade ni ngumu
Kila kitu kwa step mkuu, kwanza nyumba yenyewe ionekane mengine yanafata.Mtakuja kuvaa nyumba zenye mihuri ya majini. Haikaliki...