Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 789
- 2,613
Lete mbinu banaa nitacontrol cock baada ya kumaliza hii project..
Lete mbinu mzee hapa tupo sebuleni nampigisha stori za kumzuga ili kuleta ukaribu wa mudaVpi tayari au bado
Daaah yani naongea hiki wewe unauliza hiki😅Umeshakula cha mchana?
Ushauri mzuri tatizo kuna ile kanuni ya kimasta inasema, never tongoza bekitatu..Fikiria aibu utakayopata akikataa na kuja kusema kwa Aunt , mjomba kuwa ulitaka kumbaka.
Mbinu nzuri ya kumpata mwanamke ni kwenda nae taratibu.
Sasa ww huna mazoea nae alafu unataka uanze nae leo na kupita leo leo?.
Hapo Success rate ni ndogo.
Ushauri.
Anza na vizawadi vidogo vidogo.
Leo ungemuuliza kama anataka chips kuku , ili ukamnunulie. 😊😊😊
Unakuwa unamrushia vivocha siku moja moja.
huku unamset taratibu. Ipo siku mtapata tena wasaa na atakutunuku tu. Kiroho safi.
Angalizo;-
Mabeki tatu kizazi kiko karibu.
Kwahiyo YBWYB.
Huyo mkuu niliyemmention ni master wa hiyo kazi ... Akikupa tips zisipo work out . Anastake mshahara wake wote kwako.Wewe umenipata vyema sasa👊
Hilo nalo neno! aya me kimyaaaaMabeki tatu kizazi kiko karibu.