Tubadilishane ujuzi hapa nataka mtu aliwe leo. Yani leo leo

Mnaharibu mabinti wa watu halafu mnakuja kusema usioe alotumika usioe single maza! Una roho chafu sana wewe!!
Ki ufupi kama amemkuta bikra basi huyo ndio awe mke wake. Ila kama hajamkuta bikra basi sidhani hiyo dhana ya kumharibu inatumika mkuu. Maana kakuta ameharibiwa tayari.
 
Wote waliowatoa wanawake bikra mwanzoni kabisa waliwaoa? Amuache akatafute mwanamke wake amfanyie huo ushenzi!
 
Back
Top Bottom