Tubadilishane ujuzi hapa nataka mtu aliwe leo. Yani leo leo

Naam mrejesho muhimu
MREJESHO..... Sikufanikiwa kuichapa ila nilifata ushauri wa wadau kuwa nitengeneze mazoea kidoogo sasa kwenye kutengeneza mazoea nikamwambia nipikie msosi basi, akainuka akaelekea jikoni nikavizia kama dakika 15 hivi na mimi huyooo nikamfata jikoni.

Nikakuta anasonga ugali nikamwambia pasha na zole nyama kwenye friji ngoja nikusaidie kukata kachumbali huku natabasamu kama byron long yani kiumate umate.

Sasa wakati nakata kachumbali nikamsogelea nikamwambia onja lama limao limekolea, ebwana nikaanza kumlisha vile vipande vya nyanya ya kachumbali huku namwangalia machoni mtoto anakula huku anatabasamu nikamuuliza vipi vitamu? Akasema ndio. Nikamlisha tena nyanya ingine huki namsifia staili yake aliyosuka akasema inaitwa kilimqnjaro.

Nikatest kumtekenya wakati yuko kwenye sink anasuuza vyombo akasema wewe tukikutwa nikamwambia nitasema huyu binti naoa anko hatapinga, binti akawa anatabasamu sana akasema akaniambia ujue wewe nilijuaga huongei unakuaga kimya kimya sana, nikamwambia hamnaa inakuaga uchovu tu wa mizunguko ninayotokaga.

Basi nikamwambia weka kwenye sahani moja tule wote akakubali mimi ndo namuongoza sasa yeye anafuata, nikimlisha tonge nae ananilisha. Mara paap geti likafunguliwa mida ya saa kumi kasoro madakika anko karudi.

Nikampiga busu la kushtukiza mashavuni alafu nikainuka nikaenda jikoni nikanawa kwenye sink alafu huyooo chumbaniiii as if nothing happened.

So wazee hayo ndo yaliyojiri, sasa nishaonesha ishara na ashajua ikitokea tena tumebaki wawili ni nini kitafuata.

Hapo nimeenda vizuri na script au nimepuyanga wakulungwa?

Mtoto yuko natural balaa yani hapa ub*o umedinda kinoma nikikumbuka zile moment chache za gafla gafla.

Netx time binti kaisha na nataka nimfanyie surprise namnunulia bikini alafu naificha siku tukibaki wawili namwambia vero hebo vaa hii alafu waleteeeee.
 
Umenikumbusha kitu.
Kuna beki 3 tulikuwa nae.
ni mmalawi. Kila j2 anaaga anaenda Mwananyamala kwenye kikundi chao. Kuanzia asubuh saa 2 na anarud jioni saa 12.
(Kumwaga na oil pia😊😊😊😊).

Tumekaa nae mwaka 1 hivi.
Kumbe ashatusoma na anatuibia. Akawa katikati ya wiki anafunga vifurushi vya unga/sukar/mafuta ya kula/mchele sabuni/nguo za mtoto nk alafu anapeleka Dukan kuvihifadhi.

Baadae j2 anatoka mikono mitupu.
Anavipitia Dukan alipoacha na kusepa navyo.
Boda mmoja akatutonya kuwa huyu anakuwaga na vifurushi labda anawaibia. (Pengine boda alimtongoza akamkatalia , na wivu ule kuwa anaenda wap. Basi akaamua kumchoma)

Uchunguzi na mtego ukamnasa. Na Polisi alipelekwa.

Beki 3 hizi ni za kuwa nazo makini.
Ila pia wakiomba hizi safar mbili tatu waruhusiwe. Ila kwa umakini. Wao ni binadamu.
Wafanya kazi wa kimalawi nawapata sana ni wezi balaa sio wakike sio wa kiume alafu wana sura innocent yani huwezi kuwazania ila subiri tukio utakalo pigwa lazima ubongo uweke SYNTAX ERROR...😅
 
MREJESHO..... Sikufanikiwa kuichapa ila nilifata ushauri wa wadau kuwa nitengeneze mazoea kidoogo sasa kwenye kutengeneza mazoea nikamwambia nipikie msosi basi, akainuka akaelekea jikoni nikavizia kama dakika 15 hivi na mimi huyooo nikamfata jikoni.

Nikakuta anasonga ugali nikamwambia pasha na zole nyama kwenye friji ngoja nikusaidie kukata kachumbali huku natabasamu kama byron long yani kiumate umate.

Sasa wakati nakata kachumbali nikamsogelea nikamwambia onja lama limao limekolea, ebwana nikaanza kumlisha vile vipande vya nyanya ya kachumbali huku namwangalia machoni mtoto anakula huku anatabasamu nikamuuliza vipi vitamu? Akasema ndio. Nikamlisha tena nyanya ingine huki namsifia staili yake aliyosuka akasema inaitwa kilimqnjaro.

Nikatest kumtekenya wakati yuko kwenye sink anasuuza vyombo akasema wewe tukikutwa nikamwambia nitasema huyu binti naoa anko hatapinga, binti akawa anatabasamu sana akasema akaniambia ujue wewe nilijuaga huongei unakuaga kimya kimya sana, nikamwambia hamnaa inakuaga uchovu tu wa mizunguko ninayotokaga.

Basi nikamwambia weka kwenye sahani moja tule wote akakubali mimi ndo namuongoza sasa yeye anafuata, nikimlisha tonge nae ananilisha. Mara paap geti likafunguliwa mida ya saa kumi kasoro madakika anko karudi.

Nikampiga busu la kushtukiza mashavuni alafu nikainuka nikaenda jikoni nikanawa kwenye sink alafu huyooo chumbaniiii as if nothing happened.

So wazee hayo ndo yaliyojiri, sasa nishaonesha ishara na ashajua ikitokea tena tumebaki wawili ni nini kitafuata.

Hapo nimeenda vizuri na script au nimepuyanga wakulungwa?

Mtoto yuko natural balaa yani hapa ub*o umedinda kinoma nikikumbuka zile moment chache za gafla gafla.

Netx time binti kaisha na nataka nimfanyie surprise namnunulia bikini alafu naificha siku tukibaki wawili namwambia vero hebo vaa hii alafu waleteeeee.
Weka namba tuchangie hela ya bikini
 
Ebwana nemeenda kumtembelea mjomba maeneo ya mkuranga mkoa wa pwani nina wiki sasa, nimekuta mjomba ana bekitatu mtoto wa morogoro anaonekana wa kuja ila ukimtazama kwa jicho ya ulafi mtoto anaita.

Maana ni maji ya kunde mfifio, mwembamba kiasi sio sana na ana kitako kinachoendana na umbo lake. Ana miaka 24, nasikia ana mwezi tu toka aje. Na sina mazoea nae zaidi ya kuniamkia asubuhi na jioni nikiwa narudi kutoka mizunguko yangu ya mtaa.

Sasa leo mjomba na shangazi wametoka mchana huu sijui wanarudi mida gani ila nataka kwenye hili gape nimtafune huyu bekitatu kutoka moro iwe isiwe kumbuka hakuna mazoea zaidi ya salamu hapa nipo nae sebuleni tunaangalia sinema zetu namzuga tu stori za huko sinema zetu ila mimi nawaza kupenya katikati ya miguu yeye hajui tu.

Sasa wakulungwa tubadilishane njia za kutenda dhambi huyu mtoto anatakiwa avuliwe ch*pi hapa hapa sebuleni.

Mbinu ya kwanza ni ipi? Nina lisaa limoja na nusu tu la kukamilisha hili jambo.

Wazee wa mabekitatu mpooooo...

Mabekitatu yeeee! Mabekitatu yaaaaa!!!

Leteni mbinu...

Wanaume tusaidiane kuwatafuna hawa watu maana nao wanasaidianaga kutuangamiza sisi.
 
Attachments

  • FB_IMG_1532373108520.jpg
    FB_IMG_1532373108520.jpg
    39.8 KB · Views: 8
Back
Top Bottom