Tubadilishane ujuzi hapa nataka mtu aliwe leo. Yani leo leo

Naam mrejesho muhimu
MREJESHO..... Sikufanikiwa kuichapa ila nilifata ushauri wa wadau kuwa nitengeneze mazoea kidoogo sasa kwenye kutengeneza mazoea nikamwambia nipikie msosi basi, akainuka akaelekea jikoni nikavizia kama dakika 15 hivi na mimi huyooo nikamfata jikoni.

Nikakuta anasonga ugali nikamwambia pasha na zole nyama kwenye friji ngoja nikusaidie kukata kachumbali huku natabasamu kama byron long yani kiumate umate.

Sasa wakati nakata kachumbali nikamsogelea nikamwambia onja lama limao limekolea, ebwana nikaanza kumlisha vile vipande vya nyanya ya kachumbali huku namwangalia machoni mtoto anakula huku anatabasamu nikamuuliza vipi vitamu? Akasema ndio. Nikamlisha tena nyanya ingine huki namsifia staili yake aliyosuka akasema inaitwa kilimqnjaro.

Nikatest kumtekenya wakati yuko kwenye sink anasuuza vyombo akasema wewe tukikutwa nikamwambia nitasema huyu binti naoa anko hatapinga, binti akawa anatabasamu sana akasema akaniambia ujue wewe nilijuaga huongei unakuaga kimya kimya sana, nikamwambia hamnaa inakuaga uchovu tu wa mizunguko ninayotokaga.

Basi nikamwambia weka kwenye sahani moja tule wote akakubali mimi ndo namuongoza sasa yeye anafuata, nikimlisha tonge nae ananilisha. Mara paap geti likafunguliwa mida ya saa kumi kasoro madakika anko karudi.

Nikampiga busu la kushtukiza mashavuni alafu nikainuka nikaenda jikoni nikanawa kwenye sink alafu huyooo chumbaniiii as if nothing happened.

So wazee hayo ndo yaliyojiri, sasa nishaonesha ishara na ashajua ikitokea tena tumebaki wawili ni nini kitafuata.

Hapo nimeenda vizuri na script au nimepuyanga wakulungwa?

Mtoto yuko natural balaa yani hapa ub*o umedinda kinoma nikikumbuka zile moment chache za gafla gafla.

Netx time binti kaisha na nataka nimfanyie surprise namnunulia bikini alafu naificha siku tukibaki wawili namwambia vero hebo vaa hii alafu waleteeeee.
 
Wafanya kazi wa kimalawi nawapata sana ni wezi balaa sio wakike sio wa kiume alafu wana sura innocent yani huwezi kuwazania ila subiri tukio utakalo pigwa lazima ubongo uweke SYNTAX ERROR...😅
 
Weka namba tuchangie hela ya bikini
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1532373108520.jpg
    39.8 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…