Ki ufupi kama amemkuta bikra basi huyo ndio awe mke wake. Ila kama hajamkuta bikra basi sidhani hiyo dhana ya kumharibu inatumika mkuu. Maana kakuta ameharibiwa tayari.