Mufiyakicheko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 892
- 86
Kwa ninavyojua, ds^v wanapatikana katika Eutelsat iliyo nyuzi 36.0 E, na hiyo kwenye picha ya Nyondoloja ni 36.6 (kwa mujibu wa lebo aliyoweka), kwa hio huenda akapata channels tofauti. Aje afafanue[/QUOTE
acha kupotosha ata kusoma umeshindwa 36.0e
Ndugu, acha ubishi. Ikuze hio picha ya Nyondoloja uone alivyoandika. Usiwe unabisha vitu vilivyo wazi! Eutelsat iko 36.0[SUP]0[/SUP], lakini label ya hio picha hapo juu inaonesha ni 36.6[SUP]0[/SUP], unabisha kitu gani sasa?acha kupotosha ata kusoma umeshindwa 36.0e
Ndugu, acha ubishi. Ikuze hio picha ya Nyondoloja uone alivyoandika. Usiwe unabisha vitu vilivyo wazi! Eutelsat iko 36.0[SUP]0[/SUP], lakini label ya hio picha hapo juu inaonesha ni 36.6[SUP]0[/SUP], unabisha kitu gani sasa?
jukwa la siasa kunakufaa hata linki huoni kunanini
Haya umeshinda!
Tunaongelea picha, we unaongelea link. East and West.
dishi ft 6 receivers mpeg2 ukipata mpeg4 hd utafaidi zaidi
Nitapata wapi hii receiver@ nyandoloja
hatushindani sema hakuna satellite ya 36.6e ipo ya 36.0e
picha isikuchanganye soma mwanzo hadi mwisho utafaham
Haya umeshinda!
Tunaongelea picha, we unaongelea link. East and West.
Kwa ninavyojua, ds^v wanapatikana katika Eutelsat iliyo nyuzi 36.0 E, na hiyo kwenye picha ya Nyondoloja ni 36.6 (kwa mujibu wa lebo aliyoweka), kwa hio huenda akapata channels tofauti. Aje afafanue
Jamiiforum ni mwisho wa longolongo.
hujakosea nenda uendako jf ni mwisho wa mambo yote
mkuu hivi dish za fut sita bhado ziko dukani na utaalamu wa kupata FTA.
zipo sana mkuu 120k original
Maelezo hayajitoshelezi; Kaulizie kama ni:Msaada nataka kununua king'amuzi kuna kimoja nimekiona kinaitwa Singsung ambachi haulipii na unafanya kusearch tu..Kuna mtu amekutana nacho maana bado sijafanya maamuzi ya kununua.
Msaada nataka kununua king'amuzi kuna kimoja nimekiona kinaitwa Singsung ambachi haulipii na unafanya kusearch tu..Kuna mtu amekutana nacho maana bado sijafanya maamuzi ya kununua.