Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Kwa ninavyojua, ds^v wanapatikana katika Eutelsat iliyo nyuzi 36.0 E, na hiyo kwenye picha ya Nyondoloja ni 36.6 (kwa mujibu wa lebo aliyoweka), kwa hio huenda akapata channels tofauti. Aje afafanue[/QUOTE

acha kupotosha ata kusoma umeshindwa 36.0e
 
Ndugu, acha ubishi. Ikuze hio picha ya Nyondoloja uone alivyoandika. Usiwe unabisha vitu vilivyo wazi! Eutelsat iko 36.0[SUP]0[/SUP], lakini label ya hio picha hapo juu inaonesha ni 36.6[SUP]0[/SUP], unabisha kitu gani sasa?
 
jukwa la siasa kunakufaa hata linki huoni kunanini
 
Kwa ninavyojua, ds^v wanapatikana katika Eutelsat iliyo nyuzi 36.0 E, na hiyo kwenye picha ya Nyondoloja ni 36.6 (kwa mujibu wa lebo aliyoweka), kwa hio huenda akapata channels tofauti. Aje afafanue

mkuu lebo ni makosa ya uandishi usahihi ni 36.0e
 
Msaada nataka kununua king'amuzi kuna kimoja nimekiona kinaitwa Singsung ambachi haulipii na unafanya kusearch tu..Kuna mtu amekutana nacho maana bado sijafanya maamuzi ya kununua.
 
Maelezo hayajitoshelezi; Kaulizie kama ni:
  1. MPEG4 Decoder? au la!
  2. Na je ni DVB s2 & t2 Combo - Yaani kinatumia Dish au/na Antena ya kawaida?
  3. Na je kinauzwa TSH ngapi?
Majibu ya hayo maswali ndio yatatupa jibu kuwa UCHUKUE au USICHUKUE hicho kingamuzi
 
Msaada nataka kununua king'amuzi kuna kimoja nimekiona kinaitwa Singsung ambachi haulipii na unafanya kusearch tu..Kuna mtu amekutana nacho maana bado sijafanya maamuzi ya kununua.

UliziaeUUuletezo hapa uletehapaa hujalipia..muhimu.
 
Back
Top Bottom