Tubadilishe mnyama wa Taifa asiwe Twiga

Na ushaona hawa wanawawinda Twiga ?

A giraffe can kick in any direction and in a manner of ways, and its kick can not only kill a predator, but has even been known to decapitate. Unsurprisingly, very few predators bother an adult giraffe.
Mkuu ungekua unafanya utalii wa ndani hili ungelijua, pale Ruaha National Park, kuna Lion pride iliyo specialize kuwinda Twiga, na mara nyingi Twiga wengi wameuliwa na pride hii, tembelea ile mbuga na omba upelekwe sehemu inayoitwa The Glein, na pia hapo ukiwa na bahati utaiona pride ambayo ni wawindaji wazuri wa Buffalo, Botswana wanayo ambayo inawinda Tembo, one in one ni matter of timing, pls ukiwa na uwezo tembeleene Ruaha National Park ni super kwa zote nchini, utaona vitu unique
 
Ee bwana Nyegele ni jeshi la mtu mmoja na mtata sana.
 
Pride : A group of Lions.....

What did I say.....

Ukimaliza kujibu hilo niite niendelee kupangua Hoja zako kama unadhani one to one Man amano - Simba anaweza kumdhibiti Twiga
Jamaa akasema yeye hasemi simba anasema caracal ukizingatia hao wana-hunt alone na wanspecialize kwenye small animals...., ndio nikwambia....

Ushaona hao wanawinda Twiga..; Ukizingatia Twiga teke lake ni balaa.....
 
Naunga mkono hoja
 
Wekeni Pimbi kabisa basi. Kwani sifa za Pimbi ni zipi?
 
Mm nadhani tunaendana na tabia za twiga, watz tupo tupo tuu kama mafala ndio maana wenye vyeo wanajipigia tuu pesa za umma.
 
Duuh! na wenzetu Uganda Korongo afadhali sisi.
Korongo au Crowned Crane ni ndege mzuri sana....moja wapo ya ndege Waziri sana Africa, ana rangi zaidi ya 5.
 
ndo mnyama mwenye uwezo kuona mbali kuliko kiumbe chochote duniani ,nahiyo ndo sababu ya uwepo wake kama nembo nadhani ccm wamesahau kwann nyerere alilidhia hili
 
Huku twiga, kule mwenge!
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania [emoji1241]

Kule ipo nchi ya Zanzibar, lakini mbona Tanganyika haionekani!?

Hesabu za kimuungano
Hapa Tanzania
1 + 1 = 2 [emoji736]

Kwingine duniani
1 + 1 = 1[emoji736]
1 + 1 = 2 [emoji735]
 
ndo mnyama mwenye uwezo kuona mbali kuliko kiumbe chochote duniani ,nahiyo ndo sababu ya uwepo wake kama nembo nadhani ccm wamesahau kwann nyerere alilidhia hili
Ukisha ona mbali?
 
Kwa nini asiwe Panya Buku??, maana tunaongoza kwa KUFISIDI mali za umma..watu wanakula kwa fujo bila kunawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…