Tubadilishe mnyama wa Taifa asiwe Twiga

ahhhj ni imani tu.labda kidogo kwenye jezi ya taifa.Hapana jaman tubadilishe nyuzi ikikaa poa rangi nyekundu kijan changanya na nyeusi .we kila tuendako ni mafanikio.rangi nyekundu ni muhimu sana,angalia asenal,man,simba, hivyo ni krabu vichache tu nimetaja..twende kijani brazil,yanga, yaani tukiweka rangi hizo mmm hatari
 
Badala ya kufikiria how can we advance science for development, unafikiria petty issues! Nchi kama South Korea ambavyo we were at par in the early 60s, sasa wanamalizia hatua ya mwisho kuwa developed world because of science, wewe unafikiria namna ya kubadiri nembo ya taifa instead of how to advance science
 
mi napendekeza yafuatayo
1.mnyama awe fisi kwa sababu watanzania ni waoga na hawatosheki (wezi wa mali za umma)

2.Nembo ya bibi na bwana yule bibi aongezewe wowowo!!!

Hahahahaha
 
Nembo yetu ya taifa wamesimama mme na mke wala sio wanyama kama nchi nyingine. Hakuna jambo zuri kama hilo na ni la kipekee kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…