Tubadlike: Tunapoteza asili yetu kwa kuwaiga vitu vingi wazungu na waarabu kwa kujidanganya ni dini

Tatizo jamii imeshakariri hivyo, wakikuona unaitwa Banzi, Mkude,au Kobelo wanakuona umepotea...hakika tunahitaji kuwa wazalendo kama wenzetu wa uchina
Wachina wa wapi? Hujawaona jinsi wanavyopiga suti? Si wanaume, si wanawake, ili waonekane wako kibiashara. Majina pia ya kimagharibi.
 
Ukiwa masikini huna uwezo wa kufuata tamaduni zako.

Lazima kila siku utarudi kwa hao wenye hela zaidi yako kuwapigia magoti.

When you are poor, you don't have a choice. You take whatever life throws towards you.
 
Maisha yanaendelea mbele, unaishi leo kesho unakufa….. huwezi kuzuia wakati usipite.
 
Ajabu ni kuwa ikifika birth day yako unapost wasap status kutwa nzima na rafiki asie kuwish unamkazia, hapo utahaha kutafta keki mtoto wa kiume.
 
Mkuu umesahau
MAVAZI :tumeacha kabisa kuvaa ngozi
ELIMU: tumeacha kuchunga Ng'ombe na kuwinda mwituni kwa mikuki na Mishale tunaenda kuwapotezea muda shuleni Waafrika sisi.
 
Mimi napenda sana ile lafudhi ya kiarabi ikitamkwa na mbongo: ''kheri sheikh! Inshallah"
👳👳 na kujifunga kichwani. Ngoja tu tuige bosi kwani kuna raha yake kuiga majina na lafudhi ya kiarabu. Vaa, tembea na kuoa wanawake wawili hadi wanne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…