Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Wachina wa wapi? Hujawaona jinsi wanavyopiga suti? Si wanaume, si wanawake, ili waonekane wako kibiashara. Majina pia ya kimagharibi.Tatizo jamii imeshakariri hivyo, wakikuona unaitwa Banzi, Mkude,au Kobelo wanakuona umepotea...hakika tunahitaji kuwa wazalendo kama wenzetu wa uchina