Tuchambue haya majina ili kubakiwa na majina 10 ya wanaJF walioupiga mwingi humu 2024

Tuchambue haya majina ili kubakiwa na majina 10 ya wanaJF walioupiga mwingi humu 2024

Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora.

1. MamaSamia2025
2. Pascal Mayalla
3. Lucas Mwashambwa
4. Tlaatlaah
5. Mbaga Jr
6. USSR
7. britanicca
8. chiembe
9. Erythrocyte
10. Mshana Jr
11. Mohamed Said
12. FaizaFoxy
13. GENTAMYCINE
14. Robert Heriel Mtibeli
15. Etwege
16. raraa reree
17. min -me
18. DeepPond
19. UMUGHAKA
20. @salary_slip
Wamekutuma ?
 
20. @salary_sl
Maoni yangu wafutilie mbali wafuatao
1. Wewe mwenyewe mama Samia
2. Lucas mwashambwa
3. Tlaatlah
Hawa hawafai kuwepo hapo watoe saivi plz
 
Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora.

1. MamaSamia2025
2. Pascal Mayalla
3. Lucas Mwashambwa
4. Tlaatlaah
5. Mbaga Jr
6. USSR
7. britanicca
8. chiembe
9. Erythrocyte
10. Mshana Jr
11. Mohamed Said
12. FaizaFoxy
13. GENTAMYCINE
14. Robert Heriel Mtibeli
15. Etwege
16. raraa reree
17. min -me
18. DeepPond
19. UMUGHAKA
20. johnthebaptist
Erythrociy,raraa rere,mini me,mshana,mbaga,Britanica,Robert Heriel,Deep pond,Umughaka,Gentemycine.Wengine subirini awamu yenu tafadhali.
 
Umughaka mwaka huu amefanya nini? Huyu 2023 ndio alikuwa na mambo mengi, deepond na mama J nadhani ni 2023,
Mtibeli amefanya vyema na tuzo alipewa na max.
Chawa lucas anaonekana anafanya ujinga lakini yupo kimkakati, " faida ipo mama hana choyo". Na machawa wengine wa kisiasa wote CCM na CHADEMA .

Shukrani Sana Mkuu
 
Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora.

1. MamaSamia2025
2. Pascal Mayalla
3. Lucas Mwashambwa
4. Tlaatlaah
5. Mbaga Jr
6. USSR
7. britanicca
8. chiembe
9. Erythrocyte
10. Mshana Jr
11. Mohamed Said
12. FaizaFoxy
13. GENTAMYCINE
14. Robert Heriel Mtibeli
15. Etwege
16. raraa reree
17. min -me
18. DeepPond
19. UMUGHAKA
20. johnthebaptist
Asilimia kubwa umeandika wana CCM wenzako
 
Back
Top Bottom