Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Mpo salama!
1. Nimekuwa miongoni mwa walioiona Clip inayomuonyesha mtu aliyejitambulisha kwa jina la Agustino Polepole. Ambaye mwenye anasema ni ndugu wa Humphrey Polepole.
2. Tangu imeripotiwa na kudaiwa Humphrey Polepole amepotea ndipo Mtu huyu alipojitokeza. Na watu wengi tumemjua kuanzia hapo
3. Ametoa Clip kadhaa. Ambazo katika mitandao ya kijamii zimesababisha reactions Kwa waliopo mtandaoni
4. Bila kupoteza muda acha tujadili kwa kifupi Saikolojia lakini sio saikolojia ya ndani kabisa kwani hiyo ni faradha ya mtu binafsi. Tutajadili saikolojia kulingana na Video ya Jana aliyotoa masaa 24.
5. Kama ifuatavyo;
a) Maumivu ya Kihisia;
Emotional trauma; Kisaikolojia mtu yeyote akipotelewa na ndugu wa karibu huumia Sana kihisia,
Hasira
Uchungu
Na maumivu makali humfanya mtu apoteze mhimili wake wa kihisia.
Agustino Polepole ukimsikiliza utagundua anamaumivu makubwa ya kihisia. Ana hasira. Na uchungu.
b) Mtazamo wa kijeshi
Ukimsikilliza Agustino utagundua kuwa mara nyingi amekuwa akirudiarudia kujitambulisha kama Colonel wa jeshi. Na mara kadhaa amekuwa akitumia kauli au misemo ya kijeshi.
Kisaikolojia mtu hutumia mtazamo wa KAZI yake kama sehemu ya Kujijengea Imani na kujipa moyo, kutishia mahasimu wake, ni mbinu mojawapo ya mkakati wake kuwatisha mahasimu wake ili wamrudishe ndugu yao.
Maelezo ya anajua Kila kitu.
Polepole ana chip mwilini
Anafuatilia Kila hatua.
Kutaja majina ya mahasimu wake.
Ni Moja ya mtazamo wa kijeshi.
c) Body Language yake
Agustino Polepole anapoongea anaongea akiwa na maneno yanayojirudia rudia. Kisaikolojia hii inamaanisha ana NIA ya dhati kwa kile anachoongea.
Lakini kuongea maneno mengi na kutoa vitisho mara kwa mara ni kiashiria hana mpango wa kueleweka(low Planing) na malengo Yake hayapo kwenye mpangilio.
Kushusha pumzi mara kwa mara ni kiashiria cha hasira na uchungu ndani ya nafsi yake.
Utulivu wa macho yake kisaikolojia ni kiashiria anajiamini lakini hajui atafanyaje.
Vitisho vya "Atalipa Kisasi" vinaashiria nini Kisaikolojia.
a) Kuachia Hisia (Venting)
Kama Kaka na Mwanajeshi kama alivyojitambulisha anaona anaowajibu wa sio tuu kulinda jamii bali kulinda pia familia take.
Kuongea ongea mara kwa mara ni njia mojawapo ya kutoa uchungu na maumivu ndani ya kifua chake.
Saikolojia wa Wanajeshi au Askari wanaamini akiwa askari hakuna wa kugusa familia Yake.
b) Kuomba Msaada na kulazimisha msaada (Cry for Help)
Tangu Siku ya Kwanza Agustino Polepole nilipomsikiliza niligundua anahitaji msaada. Kuungwa mkono ili ampate ndugu Yake. Ingawaje hataki kutilisha huruma.
Kauli ya kumtaja taja Mungu ni kiashiria kikuu kwamba Hana Msaada mwingine isipokuwa Mungu ambaye kimsingi utendaji KAZI wake sio kama wa binadamu.
Kauli ya salamu kwa watanzania mara kwa mara pia ni kiashiria kingine kuwa anahitaji msaada kwa Watanzania kwa Jambo lake
c) Kutoa Masaa 24 ni dalili ya mtu aliyekata tamaa.
Anayejaribu kushinikiza kwa mara ya mwisho. Ni rahisi kutomsikia tena.
KWA NINI NI NGUMU KULIPA KISASI KAMA ALIVYOSEMA;
a) Watu wenye mipango ya kweli mara nyingi hukaa kimya.
Agustino anatumia muda mwingi kuandaa hotuba badala ya kutumia huo muda kupanga kisasi chake.
Kutangaza kulipa kisasi hasa Kwa mtu binafsi Kwa watu aliowataja ni dalili ya low planning na kukata tamaa.
b) Mbinu Duni na kuongozwa na mihemko kuliko mantiki.
Simlaumu kwani najua anauchungu na ndugu yake. Na inaumiza sio kwake tuu.
Kitendo cha kujitokeza tuu ilikuwa wrong step. Kwa hali ilivyokuwa angesoma situation analysis angejua kabisa ndugu yake uwezekano wa kurudi tena ni Mdogo kwani amefanya damage kubwa kwa Adui zake.
Yeye angepigana vita yake kama ghost au unknown monster. Hii vita hata angekuwa pekeake angefikia hata nusu ya ushindi katika kulipa kisasi chake.
Kwa sababu Adui zake mpaka wajue aliyenyuma ya matukio ni yeye na muda huo hawakuwa wanamjua au wanamjua kwa uchache lakini asingekuwa akilini mwao. Angekuwa ameshafika mbali Sana. Lakini kujitokeza hadharani ni kuiweka CV Yake kwa adui yake. Wameshamchambua vyakutosha. Wanamjua kwa sehemu kubwa.
Na kumjua adui ni nusu ya ushindi.
Kujitokeza iikuwa kimihemko zaidi ingawaje amefanya kwa sehemu yake kama Kaka. Ila kimbinu za kivita haifanyi KAZI.
c) Anatafuta Huruma kwa Watu wasio na huruma.
Watanzania wengi wao sio wote hawana huruma. Wabinafsi na wanapenda ushambenga.
Kinachoenda kutokea sasa badala ya kumsaidia wataanza kumzodoa na kumwona Debe tupu badala ya kumsaidia. Jamaa anapiga mayowe anaomba msaada sisi tunamtazama tuu.
JE MAHASIMU WA AGUSTINO POLEPOLE WANATAKIWA KUJIHADHARI?
a) Ndio. Tahadhari ni muhimu tena Sana kwa sababu Hali iliyopo inajulikana sio tuu kwa sababu ya Agustino bali hata Hali ya kitaifa ilivyo.
b) Agustino mara kadhaa amejitaja katika wingi. Tuta, tutafanya, tutaanzia, lakini baadaye anajikanusha Nita, nitafanya.
Ikiwa Agustino kwa nafasi Yake yupo na kundi au anakikosi basi ni wazi kisasi chake kina uwezekano wa kufanyika.
c) Kazi yake ya jeshi.
Kama kweli kitaaluma ni mjeshi basi kuchukua tahadhari ni muhimu zaidi. Ingekuwa ni MTU WA kawaida kama Mimi hapa angeweza kupuuzwa.
Hasa akiwa na kikosi au watu wanaomuunga Mkono.
d) Mbinu ya Ukimya na kupotea kwa muda ndio atakayoitumia. Kisha anaweza kufanya Ambush.
Kitisho alichotoa kwa mtu yeyote anayependa maisha lazima kimkosesha Amani. Muda wote unakuwa most wanted.
Watu wengi watategemea atafanya Siku chache baada ya hayo masaa 24 lakini kimsingi hilo halitawezekana kama yeye atatumia mbinu kamili za kivita.
Kibarua kilichopo bila Shaka ni kumsaka yaani kupambana naye ili kutompa nafasi ya yeye kutekeleza adhma ya kisasi chake. Na kama ni hivyo Agustino hawezi kufanya kosa la kuingia kwenye utekelezaji muda huu au Siku hizi au mwezi huu akijua kuna pressure kubwa katika vita yao.
Uwezekano wa Agustino kufanikiwa kulipa kisasi akiwa pekee yake ni chini ya 10%
Kama yupo na kikundi ambacho ni well t
rained angalau itafika 40%.
Ila kwa maneno mengi vile. Sidhani. Ngoja tuone.
Ijumaa Kareem.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam