Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
Kama Mimi ningekuwa Familia ya pole pole, kaka Yangu ama Mdogo wangu polepole angekuwa ametekwa ningekufa na Abduli.
Kwa Genz kama Humud alivyolipiza kisasi kumuua Karume na Mimi ningemmaliza Abduli.
Sasa ishu sio kummaliza. Ishu ungetumia mbinu na mkajati upi?