JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Je, Huyu Mchezaji ni nani?
Ameshinda
Pamoja na mafanikio yote hayo, Mchezaji huyu hajawahi kushinda Taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League)
Ameshinda
- Ballon d'Or
- Copa America
- La Liga
- Copa del Rey
- Kombe la Dunia
- Klabu Bingwa Dunia
- Mfungaji Bora World Cup
- Mfungaji Bora Ulaya
- Mchezaji Bora Ulaya
- Amecheza Klabu 4 Kubwa Ulaya
Pamoja na mafanikio yote hayo, Mchezaji huyu hajawahi kushinda Taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League)