Tuchemshe Bongo kidogo, huyu mchezaji ni nani?

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Je, Huyu Mchezaji ni nani?

Ameshinda
  • Ballon d'Or
  • Copa America
  • La Liga
  • Copa del Rey
  • Kombe la Dunia
  • Klabu Bingwa Dunia
  • Mfungaji Bora World Cup
  • Mfungaji Bora Ulaya
  • Mchezaji Bora Ulaya
  • Amecheza Klabu 4 Kubwa Ulaya

Pamoja na mafanikio yote hayo, Mchezaji huyu hajawahi kushinda Taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League)
 
Ronaldo De Lima Luis Nazario
 
 






Ronaldo Luís Nazário de Lima
 
Hiyo ndio sehemu pekee nimeshindwa kunielewa. Ila sifa nyingine zote zinamlenga yeye.
CWC inawezekana bila kushinda CL.

Mfano Madrid ikishinda CL mwaka huu halafu Endrick akaja kuanzia July then akaja kucheza CWC na akashinda. Hivi ndivyo huyu mchezaji alivyoshinda CWC bila kushinda CL.

Swali ndio linabaki ni yupi huyo...
 
CWC inawezekana bila kushinda CL.

Mfano Madrid ikishinda CL mwaka huu halafu Endrick akaja kuanzia July then akaja kucheza CWC na akashinda. Hivi ndivyo huyu mchezaji alivyoshinda CWC bila kushinda CL.

Swali ndio linabaki ni yupi huyo...
Ni huyo huyo De Lima. Labda tutafute timu akiyoshinda nayo CWC
 
John Raphael Bocco
 
Ronaldo de Lima
 
Maradona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…