Tuchemshe bongo kidogo

Tuchemshe bongo kidogo

Mbwa Mmoja = 20

Mfupa Pair Moja = 3

Ndizi Chane Moja = 6

Kwahiyo jibu ni 29
 
1. Mbwa zipo Tatu jumla ni 60. Kwahiyo Mbwa mmoja ni 20.

2. Mifupa Miwili na Mbwa mmoja. Jumla 26 lakini Mbwa ni 20. So jumla ya Mifupa miwili ni 26-20 = 6.
Kwahiyo Mifupa miwili jumla 6, ukigawa mara 2 inamaana Mfupa mmoja ni 3.

3. Mfupa mmoja jumlisha Ndizi mbili ni 15. Ila Mfupa tushajua ni 3 ukiwa moja. So 15-3=12. Inamaanisha Ndizi mbili ni 12 ukigawa kwa 2 unapata Ndizi moja ni 6.

4. Jumlisha sasa Mbwa Mmoja (20) + Mfuoa mmoja (3) + Ndizi Moja (6) Jumla 29.

Primary hadi A'Level Kayumba,
 
Mpaji Mungu mwingine huyu hapa kashuka notes kabisa
 
1. Mbwa zipo Tatu jumla ni 60. Kwahiyo Mbwa mmoja ni 20.

2. Mifupa Miwili na Mbwa mmoja. Jumla 26 lakini Mbwa ni 20. So jumla ya Mifupa miwili ni 26-20 = 6.
Kwahiyo Mifupa miwili jumla 6, ukigawa mara 2 inamaana Mfupa mmoja ni 3.

3. Mfupa mmoja jumlisha Ndizi mbili ni 15. Ila Mfupa tushajua ni 3 ukiwa moja. So 15-3=12. Inamaanisha Ndizi mbili ni 12 ukigawa kwa 2 unapata Ndizi moja ni 6.

4. Jumlisha sasa Mbwa Mmoja (20) + Mfuoa mmoja (3) + Ndizi Moja (6) Jumla 29.

Primary hadi A'Level Kayumba,
Ndizi Ziko 4 Na Kuna alama Ya Kuzidisha,,Mbwa 20+(3*4)12=32✔️✔️✔️
 
38
Huu uzi unanikumbusha enzi zile tunatoka kwenye mtihani wa hisabati alaf tunaanza kuudiscuss unakuta mpo watano alaf peke yako umeandike jibu la tofauti lazima upagawe.
 
Back
Top Bottom