Tucheze kamchezo: Unaijua hii mitaa?(Dar)

Nimeambulia kichemchem tuπŸ˜€πŸ˜€
 
Ngoja nijaribu, hata kama nimetoka huko kitambo kidogo...
1. Tusiime
2. Mwenge Social Hall..karibu na tuisheni za zamani za akina Sir Sumu.
5. Sea Cliff ni pande za Masaki kama sijakosea.
7. Posta..kuna Benki ya CRDB tawi kubwa.
10. Kino moja iyo. Mabishoo walianzia hapo..
12. Buza maana ndo tunasikiaga Buza kwa lulenge.
13. Mbagala
14. Kimara
15. Tegeta.
 
Ushawahi kufika
 
Unapajua Temeke wewe,Chang'ombe,Unubini,Toroli,sokota,Wailes,Taifa,pile,tandika,mwembeyanga,mikoroshini,sandali,deviskona,Yombo,njaro,maguruwe
 
"Niambie unataka kupoteza muda bila kusema unataka kupoteza muda" Ndio huu uzi sasa.
 
Unapajua golan msewe ww kule chin kwenye kimto cha kuvukia udsm
 
We huwezi kuimaliza Dar wewe acha kutishia watu...
Pepeteka unapajua wewe?
Mansantula unapajua wewe?
Unubini je unapajua wewe?
Lugwadu ushawahi fika?
Ungindoni umepita?
Kwa mbwa mkali unapajua wewe?
 
Unapajua Temeke wewe,Chang'ombe,Unubini,Toroli,sokota,Wailes,Taifa,pile,tandika,mwembeyanga,mikoroshini,sandali,deviskona,Yombo,njaro,maguruwe
Habari kaka.

Kuna dada nina shida nae, kuonesha nipo serious nimemwambia popote alipo niko tayari kumfata tuonane.

Mie nipo mitaa ya Ubungo.

Dada ameniambia anaishi Temeke Yombo. Amesema kama ni kuonana, basi isiwe mitaa ya mbali na Temeke. Yaani tusiende mbali. Anaishi kwao.

Mie Temeke sio mwenyeji, napajua Tandika kituo cha daladala na ile barabara ya kwenda Buza.

Naomba unielekeze Yombo iko pande gani. Yaani nafikaje.

Halafu kingine, maeneo ya huko Temeke kuna mahali tulivu naweza mpeleka mtu wangu tukakaa kwa ajili ya mazungumzo.

Wote hatunywi pombe.

Napenda sehem iwe na mandhari tulivu, romantic. Tuweze kuongea kwa utulivu, kisha giza likiingia nimrudishe kwao Yombo mie nirudi Ubungo.

Nisaidie mkuu. Nampenda sana huyu dada.

Kuhusu usafiri nina private car.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…