Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Nimeambulia kichemchem tu😀😀Mbagala..!!
1. Unapajua Bmax wewe..?
2. Unapojua Darlive ndogo wewe?
3. Unapajua Kilamba?
4. Unapajua Biasi wewe?
5. Unapajua kurasini mpya wewe?
6. Unapajua kwa Mangaya wewe? Maturubai je?
7. Unapajua Kimbangulile wewe?
8. Unajua Scorpion wewe? Kakonko je?
9. Unapajua kwa Mapunda?
10. Unapajua Bamia?
11. Kichemchem ushawahi fika?
12. Unapajua kilungule, ukiwa unaelekea kwa Mpalange?
13. Unapajua Ikulu? Ukiwa unaelekea vigozi..!!