Tuchukue tahadhari sana Corona sasa ipo DRC congo!

Tuchukue tahadhari sana Corona sasa ipo DRC congo!

[emoji23][emoji23][emoji23]siku hizi kuna Google translate
Muendelee kuyaandika kwa kiswahili, msiandike kwenye lugha zao wasije wakatushtukia na kubuni likorona fulani kwa ajili ya hii ngozi adhimu tuliyopewa.

Jr[emoji769]
 
Google translate
Muendelee kuyaandika kwa kiswahili, msiandike kwenye lugha zao wasije wakatushtukia na kubuni likorona fulani kwa ajili ya hii ngozi adhimu tuliyopewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20200311-080649.jpeg


Jr[emoji769]
 
Kumbe ni Mzungu, arudishwe kwao, na wote waliokuwa karibu naye wapigwe isolation
 
Hili Likorona lilikua la kuhujumiana wao kwa wao, ndio maana linaenea kwa Wazungu, Waarabu na Wachina. Naona Mrusi halijambishia hodi, au atakua yeye ndio mpishi wa haya mambo.
Mrusi yupo makini sanaaa.

Kwanza sasa hivi huwezi kuingiza pua yako urusi kiurahisi rahisi.
Kashafunga mipaka na wapo restrict sanaa
 
Hii kitu ingeanzia africa ulaya isingefika ila ndio hivyo mambo mengine sie wenyewe tunajitakia kuendelea kuwapokea
 
Mikoa inayo pakana na DRC kama vile Kigoma serikali ichukue tahadhari sana maaana ndio mikoa iliyoko kwenye hali ya hatari kaingiza maradhi.

Narudia tena tahadhari ichukuliwe ktk mikoa ya Kigoma ambao uko jirani sana na DRC na Burundi ambapo kuna maingiliano sana
 
Hii sasa inatisha,ina maana tutakuwa hatuendi kanisani,kazini wala baa kunywa pombe,hapa nawasikitikia wale wenye wapenzi zaidi ya mmoja sijui maisha yatakuwaje...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom